Heri ya mwaka mpya.
Wakuu naomba msaada kwa wenye ufahamu nilisoma BED wakati ule ulikua wanapangiwa kwemda kufundisha vyuo vya ualimu lakini sikupangwa nilienda sekondari.
Sasa hivi nataka...
Heri ya mwaka mpya wakuu. Naenda moja kwa moja kwenye mada.
Hii ni baada ya harakati za hapa pale za kusoma kwa kuungaunga hatimaye nimepata vigezo vya kujiunga na digrii.
Na digrii yangu...
Heshima kwenu Wakuu.
Mtoto wa binamu yangu hakufanikiwa kupata ufaulu mzuri wa kuendelea na masomo ya kidato cha tano mwaka huu.
Lakini kutokana na kipaji cha uchoraji alichonacho tukaona ni...
Wale petroleum engineers niwashaurini mjiunge na SPE ambayo ndiyo society itayoleta manufaa zaidi kwako na kwa career yako uwe umeajiriwa au bado! Kuna dili kibao ziko njiani 2023 zinakuja TZ...
Jamani tusiwe waongo kwa mtu aliepitia shule zetu hizi za serikali hivi hawauoni kweli mzigo ambao huwa wanatupa pale tunapotoka shule ya msingi kusoma kwa kiswahili na sekondari mara paaah...
Wakuu wana SUA, mlio maliza, mnaoendelea, na mlio na ndoto za kuja kusoma SUA, habari zenu.
Tunaomba tupeane updates na outdates, ulimaliza lini, ulisomea nini, upo wapi kwa sasa.
Tupeane...
Hiki chuo kilianziasha mafunzo kwa ngazi ya Masters kwa mfumo wa long distance learning. Na hoja zao ilikuwa kuwa watakuwa wanaweka recorded video za masomo ya darasani kwenye moodle yao ili wale...
Kijiji cha Chato kina kiwango cha kuzaliwa na kiwango cha kifo ambacho kinalingana na jumla ya watu.
Idadi ya watu huongezeka kila baada ya miaka 30.
Wakati wa muda wa t = 0, idadi ya watu ni...
Salaam, ama baada ya Salaam, Leo nikiwa katika tafakuri muda huu wa usiku mnene ningependa kufahamu hasa kutoka kwa wataalamu mbalimbali ambao wamekutana na experiences hasa baada ya kumaliza chuo...
Jaman naomba kuuliza ni app gani nzuri ambayo unaweza uka save documents mbalimbali na ambayo unaweza uka iserch document fulan ikatokea.
Ukiiandika iyo document inatokea
Wakuu Habarini za muda huu, naomba kuuuliza eti Hospitali ya Aga khan ipo
Wilaya gani ?
Tarafa gani ?
Kata gani ?
Mtaa gani ?
Nina jaza form ya interview hapa sasa nimekutana na ilo swali...
Wakuu AWAMU ya PILI ipo kama ya kwanza kwenye allocation au ni 50%?
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Ijumaa, Oktoba 22, 2021) orodha ya awamu ya pili yenye...
Upo uwezekano mkubwa wataalamu wetu wamepika takwimu za wqnafunzi tarajiwa ili wapige hela ya elimu bure.Nakumbuka huko nyuma hii tqbia iligunduliwa na serikali.ikumbukwe kuwa shule zinawekewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.