Habari wakuu naomba kujuzwa juu ya huyu aliyepitia njia hii atakua na kigezo cha kuwa mhadhiri wa chuo kikuu?
Vigezo vya TCU ni first degree yaani Bachelor uwe na at least GPA ya 3.5 then Masters...
Najiuliza kweli hamuwezi kubuni kutoka maabara zenu kwa kutumia miti shamba yetu kutengeneza dawa kama Butalex? hii dawa sasa hivi haipatikani madukani, kuna formulations zenye mapungufu makubwa...
Habari zenu wana JF.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2021.Najua matokeo hayajatoka kwa selection ya 2022 lakini huwa na penda kufatilia vitu mapema ili nijipange.Ningependa kupata mawazo...
Wakuu samahani poleni kwa majukumu Mimi nimehitimu diploma ya GENERAL AGRICULTURE na nahitaji kubadilika course je nicourse gani ambayo naweza chukua degree kutokana na diploma nilionayo ya GPA 3.8
Mimi ni @aigi_systems na natambulisha kwako #amelipa_systems. Huu ni mfumo wa kusimamia malipo ya ada na utumaji wa taarifa kwa wazazi.
Ninaisiadia shule yako ya awali kufanya mambo yafuatayo:
1...
Habari zenu wakuu...? Namshukuru mungu nimepata selection ardhi morogoro ngazi ya diploma.. kwa wale waliochaguliwa tukutane hapa, hata wale wanaoendelea na masomo tupeane uzoefu wakuu....
Kila mwanafunzi lazma kuna ticha wa twit anaye au aliyemkubali kinoma!..wakati wa analogy kulikuwa na akina mkandawile,kazibure na mama shija! Digitali nayo ina wakali kama muddy physics...
Habari wadau wa elimu naomba niulize hivi hawa wafanyakazi wa serikali katika mizani mabarabarani wanasomea couse gan ?? Yan couse yao inatwaje navigezo vinavytumika kusoma?
Hicho chuo cha kawaida sana .
Halafu si kila kozi inayotolewa hapo ni bora kuliko vyuo vingine.
Kuna baadhi ya kozi zinazotolewa hapo zinatolewa chini ya kiwango kulinganisha na vyuo vingine...
Hii ni maada maalum kwa Civil Engineers na hapa tutajadili kila kitu kuhusu ku design michoro ya structural mbalimbali ikiwemo majengo, barabara na madaraja pamoja na changamoto /uzoefu ulionao...
Cosmology ni sayansi ya Ulimwengu inayohususisha kuanza kwa ulimwengu kupitia theory ya Bing bang na vitu vyote vinavyojumuisha ndan yake kama Galaxies, Stars na planets (sayari) mbalimbali kwa...
habari, nimewaza nikaona uhitaji mkubwa wa walimu wa nje ya mkoa wa kilimanjaro wanaotaka wa kubadilishana nao ndani ya mkoa wa kilimanjaro, na waliopo ndani ya mkoa wa kilimanjaro wanataka kutoka...
Katika kepeleka gurudumu la maendeleo mbele,timu nzima ya AfroIT inatarajia kuanza kutoa lactures mbalimbali za fani kedekede live.Kwa kuanzia tutaanza na zile za ICT na...
Habari wana JF,
Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie taratibu za kufanya mitihani ya leseni kwa kozi ya famasi pia kama ana mitihani ya nyuma anisaidie[emoji2969]
Habarin wana jamvi natumain mko salama
Nilikua naomba kuuliza watu wanaosoma kozi ya ENVIRONMENTAL HEALTH HUA WANAAJIRIWA MAENEO ? NA KATIKA KAZI ZAO WANA SPECIFY NA NN HASWA_?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.