Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naombeni kujua ajira na fursa za hip kozi tajwa,bacheror of economics zaman n bachelor of business economics pale MoCU
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JAMANI naomba kujua nitawezaje kubadili combination ya HGL ambayo nimepangiwa,ingawaje na combination ya CBG,imebalanca lakini mathematics nimepata alama "f" Naombeni mnisaidie wakuu
0 Reactions
77 Replies
15K Views
Naombeni ushauri baada ya muda mrefu niliamua kuresit mtihani wa form four mwaka huu hivyo nitafanya mtihani mwezi wa 11. Nilijiunga na Open school lakini kwa sasa hawafundishi wanatoa maswali...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Wanajukwaa naomba kuuliza kuhusu ngazi ya kitaaluma ijulikanayo kama shahada ya juu ya uzamivu (Doctor of Philosophy),, Swali langu ; napenda kufahamu ni kwa nini inaitwa Doctor of Philosophy...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani Kama kichwa kilivyo jieleza hapo je Kuna uwezekana wa mtu mwenye NTA 4 kufundisha chuo Cha Veta au kufungua
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Nahitaji msaada wenu, namna ya ku unconfirm selection kwa chuo cha DODOMA kama tayari umesha confirm tayari. Nawasilisha.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
UCHAMBUZI WA FASIHI SIMULIZI TAKADINI FANI MWANDISHI: BEN J. HANSON WACHAPISHAJI: MATHEWS BOOKSTORE AND STATIONARIES MWAKA: 2004 JINA LA KITABU Jina la kitabu TAKADINI lina maana ya...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakubwa,mm ni kijana niliehitimu kidato cha sita kuna kozi ya bachelor of science in economics policy and planning(EPP) ninaomba ushauri wa mbinu,mawazo kuhusu kozi hii.na kazi gani...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naombeni ushauri wenu. Nina mdogo wangu ana degeree ya philosophy, ambayo alipata akiwa seminary kuu katika shirika moja la kitawa.Ameachaa baada ya mwaka wa kiroho. Naombeni mwongozo wenu...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
0 Reactions
0 Replies
526 Views
sorry hivi allocation za mkopo utangazwa baada ya dirisha la tatu la chuo kutangazwa na kukamilika kwa udahili ama inakuwagaje? M saada kwa anaejua
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Uki log in account yako ya HESLB utaona kama kuna masahihisho yoyote unatakiwa kufanya. Mfano cheti cha kuzaliwa hakijawa verified Rita watakueleza verify then submit. Mpaka dakika hii bado...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu ombi langu Kwa anae fahamu vizuri kuhusu iTunes gift card naomba ufafanuzi
0 Reactions
1 Replies
693 Views
Habarini wana jamvii nimehitimu kidato cha sita na division 3 ya 14 DEE kombi ya CBG baada ya matokeo nikawa sina budi kuomba diploma but nilikua naomba ushaurii kozi gani itakua na maslahi,na...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau naomben kuuliza hii course ya diplomasia ya uchumi vip kuhusu nafas zake za ajira hapa tz?
1 Reactions
5 Replies
2K Views
COMMUNICATION SKILLS COMMUNICATION- Is the process of conveying information through the exchange of information from one point to another point. ELEMENTS OF COMMUNICATION: 1. Sender Is the...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Ninataka kusoma afya ila siwezi kuona damu, nimemaliza PCB div 1.8 Kuna course gani za afya ambazo hazihusishi kuona damu? Matokeo yang ya form 6 ni phy C chem B bio C
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari za kazi waheshimiwa, Samahani kwa yeyote anayefahamu namna ya kuangalia deni la loan board kupitia online tafadhari msaada unahitajika
2 Reactions
6 Replies
14K Views
............................. Asante.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu wana JFnaomben mawazo yenu... hali kitaa ni ngumu umri umekwenda sijapata ajira. Nataka nisome diploma ya afya nina miaka 42. Je nitaruhusiwa kusoma kwa umri huo au serikali itanizuia...
10 Reactions
48 Replies
7K Views
Back
Top Bottom