Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba msaada kwa mwalimu wa masomo ya biashara anisogeze Business account Basic mathematics Economics Plus Business studies Ict Communication skills
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Vyuo vinachagua/dahiri wanafunzi wenye sifa kwenye vyuo vyao kwa idadi waliyopewa na TCU, lakini wanafunzi waliochaguliwa nao wana hiari ya kuukubali/confirm udahiri wa chuo kwa kutumia mtandao...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
nilikuw naomba tusaidiane kupitia mambo mbalimbali kupitia uzi huu
0 Reactions
7 Replies
755 Views
Habari wanajamii.Nimepata hizi kozi mbili nlikuwa naomba ushauri kwa wakuu zanguu ipi inalipa kati ya hizi mbilii. Mimi ni first year mtarajiwa. Nawasilisha.
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau poleni na Majukumu ya kujenga uchumi wa nchi, Naombeni msaada wa mada tajwa hapo juu kwa ngazi ya Degree
0 Reactions
3 Replies
822 Views
Wakuu mwenye uelewa naomba anieleweshe,maana npo njia panda, maana mwanzon nlikuwa naelewa kuwa ili uwe mwalim wa chuo Cha ualim diploma ni lazma uwe umesoma BED!! Swali langu ni je hata BSC...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, naomba kujuzwa kuhusu vyuo vinavyotoa class evening ya masters in monitoring and evaluation then cha pili kwa wale waajiriwa na wazoefu katika hii course,changamoto za ajira kwa hii course...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Haya wadau form za kujiunga na law xcul kwa batch za february na August next year zimetoka, visit The Law School Of Tanzania. Deadline ya kuapply ni december this year
1 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani walimu humu ndani naombeni mnieleweshe, unapoandika kumbukumbu namba, katika barua rasmi, kumbukumbu namba hiyo inahusiha mambo gani?
1 Reactions
5 Replies
6K Views
Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya. Nina ndugu yangu alitakiwa afanye...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kichwa chajieleza.Bachelor ya elimu kusoma post graduate diploma ya account pasipo back ground yoyote ya busness subjects. Naomba mwongozo maana nina dogo anahitaji sana na lengo lake ni kusoma...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Salam ndugu wote wa JF, naomba kufungua uwanja huu nikiwa nimebakiza masaa 96 tu (siku nne) kufikia kilele cha udahili wa vyuo ngazi ya diploma awamu ya pili. Niliomba awamu ya kwanza...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za Leo wakuu, Naomba kufahamishwa katika hili. Mitihani ya supplementary chuo cha ustawi wa jamii ngazi ya diploma inaanza mwezi wa ngapi na gharama ni sh. ngapi.
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba kuuliza, Bs in bee keeping science and technology inaajira kwa sasa kweli???!! Na kama haina ajira, mtu anaweza kujiajiri baadae???!! Na kama issue ni possible, haitohitaji capital...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shikamoni wakubwa zangu, Mini mdogo wenu baada ya kukosa chuo kozi ya udaktari katika mwaka wa masomo wa 2020/2021, bado sijakata tamaa ya ndoto yangu ya kuhudumia taifa kama daktari. Ombi langu...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, ninaomba wenyeji wa Udom mnihabarishe maeneo sahihi jirani na chuo ambapo nitaweza pata chumba kwa gharama Kati ya 30000/40000 NB Zingatia gharama husika za huduma za kijamii...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Naomba kuuliza,hivi kwa clinical Officer anaweza kusoma ile kozi ya mtoa dawa ya usingizi theatre.? -inasomewa kwa miaka mingap io kozi ili awe mtaalamu wa io fani -vigezo vya kusoma io kozi...
0 Reactions
1 Replies
685 Views
Msaada wakuu jinsi ya kusolve ili tatizo ukiwa unafanya application ya chuo
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu, nna mpango wa ku apply masters ya history hapo UDSM ila sasa kabla sijafanya maamuzi naomba niulize swali kwa walio wahi kusema masters ya history au masters nyingine yoyote...
1 Reactions
54 Replies
8K Views
Jamani mm nimpya ktk JF lkn naomb kuuliz ukwel kuhusu course ya geomatic na geoinformation zote ni ardhi....je zimetofautian nin na ni IPI nzur Asanteni
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Back
Top Bottom