Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu wanajamvi kwenye account yangu ya Udom admission nataka kuomba third around kwenye Apply online haifunguki,je tatizo hili nikwangu tu,msaada namna ya kusolve hili tatz
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Naomba kuuliza field za ajira za kozi hiyo ya GEOGRAPHICAL information and Remote sensing mtu akimaliza anaajiriwa wapi? Na kwa Tanzania inatolewa vyuo gani? Na lini imeanzishwa.
1 Reactions
23 Replies
40K Views
Kwa yeyote atakayeguswa nahitaji kumshauri kijana wangu lakini sina upeo wa nini achague ni kwamba amechaguliwa vyuo viwili course ya kwanza ni Gender and Development na chuo kingine course ni Bsc...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni research topic zipi n updated na simple kupata references kutoka vitabu na articles mbali mbali. Upande wa Accounting and finance
0 Reactions
3 Replies
617 Views
Working capital,ordinary share,& preference share
0 Reactions
2 Replies
496 Views
Hivi diploma ya clinical medicine ni miaka mingapi kwa f 6 Pia kuadvance hadi degree ya MD Jumla ni miaka mingapi
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Habari za kazi wakuu nilikua nauliza kuwa hivi uchukua muda gani nacte kuverify matokeo kwa diploma manake sisi wengine matokeo yetu ndo yametumwa Jana nacte na AVN bado atujapata tunataka tuapply...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu wadau, kunakijana kapata admmsiion mbilihadi sasa,, 1.BSC with Education--St Johns University-Dodoma na 2. Diploma in Nursing and Mildwife-Kibondo school of nusring Huyu binti alimaliza...
0 Reactions
56 Replies
10K Views
Za muda tena wadau wa jukwaa hili! Naomba kujua je! mtu mwenye post graduate diploma iliyo tofauti na digrii yake ya kwanza anaweza kuwa na ufanisi ulio sawa katika utendaji na mtu mwenye...
0 Reactions
58 Replies
22K Views
Habari Kijana kachaguliwa hiyo kozi (bachelor) ,mzumbe , -tofauti na Library kunakazi gani nyingine anaweza fanya kupitia hii kozi -Ugumu wakozi -Soko laJira lipoje -unafaham nini kuhusu hii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau! Jamani hivi meseji zinazotumwa na NACTE kwa waombaji wote ambao majina yao yalipelekwa na vyuo NACTE kwa ajili ya uhakiki wa sifa za kujiunga na vyuo, mbona mimi sijapata siku...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Samahani mimi ninasoma HGK lakini sijui nitakuwa nani hapo baadae, nilikua naomba mnipe ushauri ndugu zangu
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Kwanini sheria ya wanafunzi kutumia simu mashuleni haiwekewi vigezo na masharti kuzingatiwa?
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu kuna yeyote ambaye amefanya/anafanya application ya intern pharmacist kwa mwaka huu?.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunatangza Kozi za Afya kama hii picha inavyoelezea hapa chini..karibuni
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, mdogo wangu amechaguliwa vyuo zaidi ya kimoja, chuo cha ardhi kikiwemo, lakini toka asubuhi mpakaa saiv (saa tatu usiku) akijaribu ko-login inakataa.. alitaka ku-confirm hicho chuo cha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
I am in dire need to get clarification before making decision where to join Niko kwenye dilema huyu kijana anakwenda kusoma nini na applicability yake kwa Tanzania. Inahusu nini hasa maana siyo...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
Naombeni ufumbuzi tangu majibu ya second selection yatoke nili request confirmation code tangu jana ambapo mpaka leo hii sijatumiwa
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu zangu natumai mu wazima . Samahani kidogo kwa kuchukua muda wenu , naomba mwenye joining instructions za Bwiru girls secondary school anisaidie. Kuna ndugu yangu anahamia hapo kidato cha...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Hali zenu wanajamvi hasa great thinkers!! Nawaomba mnisaidie kuwaza: 1. Je hizi shule zetu za vipaji maalum zinakuza vipaji gani? 2. Je ni njia gani zinatumika kukuza vipaji husika? 3. Je walimu...
17 Reactions
126 Replies
18K Views
Back
Top Bottom