Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa sababu ya ukuaji mkubwa wa teknolojia baadhi ya Taaluma zipo mbioni kupotea kabisa 1. Udereva 2. Udaktari 3. Mkutubi 4. Mweka Hazina 5. Wafanya kazi wa Benki Link: Zifahamu taaluma sita...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama hamuwezi kutumia system mmeanzisha ya nini. Approval inakaa pending kwa Mkuu wa idara mwezi mzima. Mnatesa wanafunzi masters Na PhD. Acheni hizo.
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ndugu wana JF Mimi ni kijana niliemaliza chuo mwaka 2021 katika program ya bachelor of education in psychology chuo kikuu cha Dodoma, sasa kuna NGO moja niliomba kama volunteers hapa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habarini ndugu..kama jina la kozi linavyoonekana hapo juu kuna mdogo wangu kachaguliwa Udom kusomea hiyo kitu Nlikuwa naomba mwenye uelewa kuhusu hiyo course anieleweshe kidogo... ahsanteni Sent...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Salaam nyote wanajukwaa. Poleni na hongereni kwa juhudi zote mzichukuazo dhidi ya janga hatari la corona. Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi muhitimu wa shahada ya sayansi elimu (bsc...
2 Reactions
34 Replies
11K Views
Nimemaliza kidato Cha sita nimepanga kusoma md uganda, Je, Kuna athari gani kwenda kusoma nje ya nchi bila no objection certificate ya tcu maana sijatimiza vigezo vya D tatu ya tcu na nimekosa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wadau, Kuna mdogo wangu yupo Moshi Mjini anahitaji arudie MTIHANI wa kidato cha nne katika masomo matano ya arts, anahitaj huduma ya tuition na kurudia mtihani. Naomba Mwenye kujua kituo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakuu wa jf ,nimechaguliwa UDOM - Diploma in pharmacy OPEN UNIVERSITY - Bachelor of science in information and communication technology ST JOSEPH - Bachelor of science with education in...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau naomb kujua iyo kozi field zake na ajira zake
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama dunia imegawanyika katika vipande viitwavyo plates, je katika mpasuko huo,kwa mujibu wa nadharia ya "continental drift", kuwa dunia imezungukwa na bahari, kwahyo kila kipande kinaelea kwenye...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Salamu, huyu ndugu jinsia ya ke .kachaguliwa chuo Cha Moshi co_operative university kozi ya bachelor degree in business information and communication technology. Mwenge catholic university kozi ya...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau, ni shule gani za elimu ya msingi nzuri kitaaluma na kimaadili, hasa za English Medium? Wapi naweza kupata takwimu ya matokeo ya darasa la 7?
0 Reactions
7 Replies
12K Views
Hali yangu Kiuchumi Nimetunukiwa Diploma 2010. Nilikuwa kwenye Ajira hadi march 2015. Nikapata wazo la kuongeza Elimu hivyo sikutaka kuajiriwa tena ili nisipate usumbufu wa kujiunga Chuo...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwa wenye madogo wanaomalizia msoto wakujitakia ndani ya JKT, Bodi imewaongezea siku 10 kuanzia tar 20 hadi 30 ili waweze kuomba mikopo ya elimu ya juu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada wakuu, kwenye kuomba AVN number inagoma kuleta control number nifanyaje?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeamua kuuanzisha uzi huu maalum kwa wanaoijua kozi hii na wale waliochaguliwa hapo! kumekuwa na mkanganyiko mkubwa juu ya carrier wa bachelor of science in biology juu ya upatikanaji wa ajira...
0 Reactions
75 Replies
20K Views
Ninaishi mtaa ambao huwa una kelele sana muda mwingi kupitiliza mpaka saa 6 usiku ndio kunatulia Je, nikiwa naamka usiku wa manane kusoma haitadhuru ufanisi wangu na afya pia? Nishaurini wakuu...
0 Reactions
3 Replies
680 Views
Habari wanajamvi ... nna mdogo wangu Matokeo yake ya O-Level ni Div 1 Ya Point 16 B.marth =B Phy =B Chem =B Bios =B Civ =B His =C Geo =C Kisw =C Eng =C Na Advance ni Div 2 ya point 10(PCB) Phy =D...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za saizi wana jukwaa[emoji112] popote pale ulipo ndani ya mipaka ya Tanzania na hata nje. Kulingana na matokeo ya kidato cha sita, wengi wa wadogo zetu wanatamani kujua vyuo bora vinavotoa...
2 Reactions
83 Replies
18K Views
Back
Top Bottom