Nasoma diploma lakini nasikia degree account ngumu sana matokeo yangu kama ifuatavyo certificate semi one GPA 3.4 semi two 3.4 mwaka wa pili semi one 2.8 semi two 3.1 mwaka wa tatu semi one 3.6...
Kitendo cha kudhindwa kuwapa wanagunzi accademic transcript ni udhaifu mkubwa mno unaoonyeshwa na uongozi wa DIT. Wakati vyuo vingine vimekwisha tia kwa wahitimu wao, DIT wanatengeneza mwanya wa...
Assalamualaikum.
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Leo napenda niongelee swala moja linalo litikisa dunia na ulimwengu kiujumla katika pitapita zangu za kuongeza maarifa nikavutiwa na hii mada...
Habari za muda huu na shida na notes za physcis za o level form 1 hadi form 4 ila na shida ya haraka zaidi notes za form 1 na form 2 nakama kuna past paper naomba.
Kuna taarifa inayozunguka mitandaoni kuwa Mwl. Ayoub wa shule ya St. Florence Mikocheni Dar, anatembea na wanafunzi wake kimapenzi, hii taarifa ina ukakasi sana kwa sisi walimu wenzake na aibu...
Habari wakuu
Naomba kusaidiwa elimu kuhusu hyo app tajwa hapo juu nimeona inahusishwa na mambo ya Bitcoin. Nanukuu
"Hi,
Yellow Card is a safe platform where you can buy or sell supported...
Tanzania ina Shule sita zinazojulikana kama Vipaji Maalum. Zipo nne za wavulana na mbili za wasichana. Shule hizo ni Mzumbe,Tabora Boys,Ilboru,na Kibaha(kwa wavulana). Kwa wasichana ni Kilakala na...
Habari wakuu kuna ndoto nimeota lakini naona tusaidiane mnipe tafsiri iko hivi
Gafla nilionekana nipo navuka korongo kabla ya kumaliza nikakuta mp3 vile vidude vya kusikilizia mziki vikiwa...
Habari za jioni wadau,
Natumai nyinyi ni wazima nna mdogo wangu hapa yupo interested sana kuwa chef ila changamoto kubwa ni wapi pa kuanzia; matokeo yake ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwaio...
Japokuwa maadili na tabia njema huanzia nyumbani ila shule naamini ina mchango mkubwa wa kuwafunza watoto hayo. Wizi baina ya watoto umekithir shule hii ukimpa mtoto kitu uhakika wa kurudi nacho...
Wadau habari za wakati huu
Nina hitaji kusaidiwa vitabu vya saikolojia yaan uwezo wa kutambua saikoloji za watu mbali mbali nitakapomaliza kusoma vitabu hvyo
I'm serious here,so pls I don't like any kind of joking!!!!!
Mwenye kujua anieleweshe bcoz my kamusi haina maana hizo ingawa nasikia BAKITA wameyaweka ktk kiswahili sanifu.
Wanafunzi wa Darasa la Saba wamemaliza Mitihani yao ya kumaliza Elimu ya Msingi, lkn ktk tathimini ya haraka haraka wanafunzi wengi wanalalamika kuwa mtihani wa somo la Hisabati ulikuwa mgumu...
Mambo zenu wakuu natumain mnaendelea vyema na majukumu yenu ya kila siku ya kulijenga taifa letu ,,,,,
Nilikuwa naomba kama kuna yeyote ambae atakuwa na aya material anisaidie tafadhar ninashida...
Habari wakuu
Bila kupepesa macho ujumbe huu uwafikie wote wanaotarajia kuomba vyuo mwaka huu, hizi kozi za afya kuna vyuo vya priavet ila sio vyote vina mambo ya hovyo na yasiyofaa kabiaa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.