Wadau, kuna kijana kachaguliwa kusoma Diploma Sheria ya Chuo cha Lushoto na pia kachagulia Diploma ya biashar aCBE Dodoma, kwa wazoefu wa hizo anga na maisha ya Kitanzania unamshauri wapi labda...
Habari za muda huu wakuu...! Somo la kiingereza limekua tatizo kubwaa kwa watoto wetu.. hasa kwenye shule za serikali (SENTI KAYUMBA)
Je tatizo ni walimu?
Je tatizo ni wazazi?
Je tatizo ni mtaala...
Majina ya selected applicants waliomba vyuo round (degree) ya pili mwaka wa masomo 2021/2022 yanaweza yanatoka lini kutokana na uzoefu wenu. ?
KCMUCo na CUHAS , hasa ndivyo vyuo nnavyovikusudia
Yaani haya mambo yamebadilika sana jamani aisee yaani leo hii div 1&2 wanaachwa.
Je, mnachukua 3&4?
Kama kuna malipo watoto waingie semeni please.
Watoto wanafaulu wana aaply yanatoka majibu...
Nina swali ndugu wanajamvi
Kuna dogo alireseat mtihani matokeo km ifuatavyo kiswahili d,hist d,civ c,lit d bio d,geo d,eng c
Kabla ya ku reseat kiswahili alikuwa na b sasa anataka kujisajili...
Historia ya Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine inaanza mwana 1965, ambapo kilianzishwa kikiwa Chuo cha Kilimo kilichokuwa kinatoa mafunzo ya kilimo kwa ngazi ya diploma.
Kufuatia kuvunjika...
Wadau naombeni msaada wa mawazo ikiwa ndo siku ya kwanza kuitwa Kwenye interview...based on your career!! Viashiria gani positive inabidi uwe navyo na vipi inabidi uzue
Wadau nina mtoto anaenda form five PCM, mimi mzazi natakiwa kumnunulia vitabu, ninachojua ni Nelkon kwa physics. Je, vingine vizuri ni vya aina gani wakuu?
Wakati mtihani wa kumaliza elimu ya msingi ukikaribia nimekuwa naona shule kadhaa zikifanya mahafali kabla watoto hawajafanya mitihani nakumbuka enzi zetu tulikuwa tunafanya pepa kisha mahafali...
Habari zenu ndugu yangu amechaguliwa kusom bachelor of Medical Lab Muhimbil na Bachelor of Architecture UDSM kwa upeo wenu ni wapi dogo aende kwa mstakabal mzuri wa maisha yake ya mbelen
Wadau vipi?
Nimepata Kibarua hapa sehemu moja huku Mwanza.
Sasa kuna machine zinahitaji calibration.
1. Temperature gauge kwenye Mixing centrifuge tank(Tank Ina heater)
2. Pressure gauge...
Ndugu zangu ninaomba abc toka kwenu juu ya hiyo kozi, nimechaguliwa IAE dsm
Nb mm ni mwl tayari,kwa yoyote mwenye kuifahamu hiyo kozi,pia fulsa ktk implementation kazini🤗
Habar wakuu Mimi Ni mhitimu wa kidatu cha sita kutokana na maamuzi wa wazee nililazimishwa kusoma sayansi A level japo Mimi napenda zaidi arts nimehitimu katika tahasusi ya PCM na Nina ndoto za...
Hey guys Kama title inavyoonekana kuna rafiki yangu nmemaliza nae six ali apply vyuo kadhaa akachaguliwa vyuo kadhaa pia mapicha yameanza kuonekana kwenye ku confirm amejaribu ku konfem kwenye...
Habari za muda huu wana jamvi?
Mimi ni kijana wa kitanzania (Me) nina umri wa miaka 26, nimedahiliwa kusoma Bachelor of Science in Nursing katika chuo kikuu cha dodoma (UDOM) kwa mwaka wa masomo...
Wadau samahanini!
Mimi ni graduate engineer hususan mambo ya ujenzi...nilikuwa napenda kujua ili upate nafasi ya seap ndani ya taasisi Fulani inakuwaje?
Msaada tafadhali
Habari ya mchana wapambanaji wenzangu,
Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba msaada namba ya NACTE nimejaribu kufanya malipo ya transcript ila najaribu kuingia kwenye website yao ni request...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.