Siku nyyingi najiuliza selection za vyuo zinatumia programme gani. Si rahisi kuzifanya manualy kuwa mtu anaangali nani kapata nini, anawalinganisha then anapata mwenye sifa ja juu.
Mfano: Mtu wa...
HABARI ZENU WAKUU NAOMBA MSAADA NIMEPATA NAFASI UDSM BACHELOR OF COMMERCE IN ACCOUNTING LAKINI NATAKA NIFANYE HUAMISHO KWENDA ARDHI UNIVERSITY NIKASOMEE BACHELOR OF SCIENCE IN ACCOUNTING AND...
Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana katika hili swala wa watoto kusoma nje ya Tanzania. Binafsi nina binti yangu nataka kumpeleka CANADA (Alberta for her Economics course first degree) ila napata...
Wakuu msaada tafadhali mimi tayari ni mtumishi wauma naenda kujiendeleza kwa ngazi ya shahada .nimechaguliwa idol meals guy kwa kozi tajwa halo Juu.
Je, kozi hii inaweza kunisaidia kutoka kituo...
Wakati nasoma shule ya msingi motto wetu ambao tulikuwa tukiusema kwa hisia kila siku asubuhi ulikuwa "elimu ni ufunguo wa maisha". Takribani miaka 20 tangu kipindi hiko maelfu ya waliokuwa...
Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani.
Sasa amegundua solution ya maisha yake ni kusoma anapenda kuwa daktari lakini...
Researchers want to expand scientific terms in African languages including Luganda, which is spoken in East Africa. Pictured: student-teachers in Kampala.Credit: Eye Ubiquitous/Alamy
There’s no...
Wadau habari?
Vijana wetu wako JESHINI, vipi maombi ya vyuo kwao? Maana hakuna mawasiliano na hatujui utaratibu wao wa kuomba vyuo na mikopo ukoje anayejua.
Msaada please
wadau wa elimu,
Nina swali. nataka kuacha degree nikasome diploma je inawezekana au natakiwa niende kwanza tcu kusema kama nimeacha au utaratibu upoke, msaada please.
Habari wadau wa jamii forums, naomba kuuliza au kujuzwa ni couse gani inaweza kunifaa katika shuguri za kujiajili au kuajiliwa kati ya project planning, management and community development vs...
Kwa mfano mtu ameshakuwa selected kwenye multiple universities lakini haja-confirm bado, je huyo mtu ana possibility ya kuchaguliwa tena chuo kingine iwapo aki-apply second selection?
Ndugu zangu nina mdogo wangu amefanikiwa kuchaguliwa ktk vyuo hivi viwili vya elimu ya juu vya Jordan University College kilichoko Morogoro na St. Augustine University - Arusha Campus. Naomba...
wakuu habarini za saa hizi?
Nimechaguliwa kusoma kozi zifuatazo.
1: bachelor of business information technology pale (UDSM NA MZUMBE).
2: bachelor of sciences in computer system and network...
Wakuu kwa mujibu wa tangazo la NACTE leo 22 August 2021 majina ya waliochaguliwa yanatakiwa kutangazwa ila mpaka saivi sijaona chochote. Wajuvi wa Mambo naombeni msaada mdogo wenu pengine kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.