Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
1. Kama unahitaji mchango (donations) wa jambo lolote, EPUKA kuuliza watu kama wangependa kukuchangia au lah na BADALA YAKE waulize kama wangependa kuchangia elfu 5 au elfu 10 (hicho kiasi ni...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau wa jf iv izi koz medicine na pharmacy ipo inalipa zaidi
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Mwenye kuzijua hiz kozi atupe mwanga [emoji119][emoji120] - Bachelor of Business Administration - Bachelor of Science in Library and Information Management Ipi Bora, soko, [emoji120]
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama ulikuwa unatamba mtaani umesoma chuo na hukusoma Kati ya vyuo hizi kwenye list jua ulikuwa unapoteza mda wako Yaani Elimu yako ni useless
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Habar wakuu, Nilikuwa naomba kuuliza vipi kuhusu iyo kozi niliyo iandika hapo juu ambayo inatolewa Ardhi University. Iko poa kwenye swala la ajira na pia inahusiana na nini sana sana?
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari wakuu naomba kuuliza majina ya waliochaguliwa yanatoka lini?
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Dogo amechaguliwa Bachelor of commerce Finance UDSM Na Bachelor of science economics and finance IFM. Wajuvi wa mambo haya nisaidieni tafadhali. Natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
949 Views
Naingia NACTE naona kama hakuna link ya log in , vile vile UDOM hakuna response kwenye akaunti ya kijana. Nifanyeje,
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Miongoni mwa kozi zinazooneka kinara katika Sekta ya Afya ni hizi kozi mbili, Doctor of Medicine(MD) na Bachelor of Pharmacy(BPharm) Je ni ipi kozi bora kuliko nyingine? Kwa nini? Je ni ipi kozi...
3 Reactions
119 Replies
35K Views
Nmechaguliwa bachela of econimics_moshi,he hii kozi nitafanya kazi zipi ukiachilia mbali kujiajiri,na je utofauti uliopo kati ya bachela of economics na bachela of art in economics ni UPI?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu, Nina ndugu yangu kachaguliwa kama ifuatavyo. 1. IFM - Bachelor of Accounting 2. TIA - Bachelor of Accountancy 3. ARDHI - Bachelor of Science in Accounting and Finance Je...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wakuu.. Mimi mhitimu wa Ordinary diploma in Nursing and Midwifery overall GPA 4.5 Advance Level sikusoma. Form Four Nina Division Three. Ndoto yangu kubwa na wazo langu ni kusoma abroad...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa ongezeko la siku za masomo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, likizo nazo wanaendelea kusoma. Najiuliza hivi hizi likizo hazina maana tena? Au vichwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wakuu ni mdogo wangu amechaguliwa kozi hizi 1. BACHELOR OF SCIENCE IN MUNICIPAL AND INDUSTRIALSERVICES ENGINEERING - Ardhi university 2.BD. Water Resources and Irrigation Enginee - water...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ambae anajua anuani ya Kanembwa JKT na mkuu wa kambi ya pale anifahamishe,nilienda mujibu wa sheria 2017,nataka niombe kazi izi za police
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mbona majina yalio toka ni ya walio chaguliwa zaid ya chuo kimoja ama coz zaid ya moja VIP AMBAO WAMECHAGULIWA NA CHUO KIMOJA MAJINA YAO TUNAYAONA WAPI
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba ufafunuzi jamani wa some terms of game theoroea kwa ufasaha sana mana pale udsm hakuna lecturer anayejua hii topic kisawasawa wote wanapapasa tu na inaonekana walikalili tu. 1. Nash...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini za mchana, Naomba msaada wa mawazo juu ya hii kozi hapo juu nimechaguliwa UDOM, nikisoma hii kozi kuna uwezekano wa kuwa mwalimu wa Biology au inahusika na nini hasa nje na ualimu.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani salam, nimefarijika sana leo kuwakumbuka wahandisi wetu katika kila nyanja, iwe umeme, maji n.k. Naomba wote tuliosoma engineering katika nyanja mbali mbali tukutane tu-share ideas mbali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Watanzania tumeaminishwa kuwa tunapewa elimu ya bureeee kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha 4. Katika kutekeleza huo mpango wizara imeonyesha kuwa inafanya mipango kisiasa tu badala ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom