Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Unajua ata ukifa siku unayozikwa wanataja cheo cha marehemu,jamani kuna mda unakata tamaa na izi fani zisizo na ajira nasomea uhasibu diploma saizi naenda kumaliza semester ya mwisho lakini kutwa...
1 Reactions
5 Replies
845 Views
Hello jf members, Nilikuwa naomba mnijuze kama mtu wa CBG anaweza kusoma medicine au nursing. Na kama haiwezekani katika vyuo vyote je baada ya kuhitimu a level anaweza kusoma physics?
0 Reactions
129 Replies
28K Views
habari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi website ya NACTE inasumbua kwa wote au ni kwangu tu, please mnisaidie deadline ya application imekaribia
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale wanaofundisha shule za Dar es salaam huu ni ujumbe kwenu. Fanya kazi sana lakini ujue hakuna bosi anayejali maslahi yako, utafanya kazi kama punda, sifa zote kwa mwenye shule. Kuna shule...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Kwa yeyote anaefahamu juu ya utaratibu wa kujiunga chuo Kikuu huria anieleze utaratibu wa ada na je uwezekano wa kufanikiwa kuhitimu kwa wakati upo? Nahitaji kusoma master hasa master inayohusu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Napenda kuuliza kwa wanaojua na wenye uzoefu: je hizi taasisi unapokwenda kuomba chuo na ukaletewa offer ya chuo mfano gharama ya masomo na malazi $3200 na ilipa hiyo taasisi kwenye acc yake je...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Eti wakuu samahani, Je, kuna utofauti gani kati ya Bachelor of Arts in economics na Bachelor Science in Economics and Finance interm of meaning and career.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu Mimi nina Bachelor of science(education) chem&biol nimefikiria kuongeza wigo wa kielimu mwaka huu,kwa kubobea katika kada ya afya kwa kusoma Masters of public health by distance...
2 Reactions
73 Replies
16K Views
Wakuu habari za leo. Samahani naomba kuuliza. Kuna mdogo wangu amechangulia chuo kikuu cha Dar es Salaam kusoma Sociology lakini yeye ndoto yake ni kosoma Law. Amechaguliwa kusoma pia Insurance...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wale wote mliochaguliwa Bsc.ESM chuo chochote karibuni kwa maswali yoyote ,,,pia wadau ambao mpo karibuni tuwashauri vijana
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu kwema! Kwa sasa tumeshakuwa watu wazima, maisha yanaendelea vizuri. Leo nimekumbuka mambo niliyokuwa nayapenda enzi hizo miaka kumi iliyopita nilipokuwa masomoni. Mimi nilikuwa miongoni...
19 Reactions
53 Replies
6K Views
Wakuu vipi kuhusu ajira za hii course au ni Bora kusoma Education in Science?
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu yangu huyu kamaliza form six mwaka huu na matokeo amepata division 1 na selection za chuo amepata UDSM course ya Bachelor of Agriculture and Natural Resources Economics and Business na NIT...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahan wakuu, Ningependa kujua unawezaj ku-confirm kuwa unaenda chuo fulani kama umechaguliwa zaid ya chuo kimoja.
0 Reactions
4 Replies
10K Views
Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada kuhusu hii kozi inahusu nini na kazi zake unafanya wapi
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Ni jambo moja kuamua usomee nini, na ni jambo la pili kuamua ukasomee wapi. Tanzania Kuna vyuo vikuu na vyuo vya kati zaidi ya 100 Lakini utalazimika kuchagua kimoja tu katika hivyo vingi ili...
6 Reactions
5 Replies
5K Views
Habar wapendwa, Wakuu nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu hii course ya health information science kuwa ina husu nn na je n nzuri. Nmemaliza kidato Cha nne mwaka jana nmefaulu kwa divsn 1 ya 12 na...
0 Reactions
25 Replies
11K Views
Wana jfm naomba mwongozo wa namna gan ya kufanya confirmation ya chuo endapo mwanafunz kachaguliwa chuo kimoja tu..........natanguliza shukrani
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom