Hellow wana jamii. Nilikuwa nauliza kwa upendo. Je! Bsc. Chemistry kwa hapa nchini(🇹🇿) ni nzuri na ina soko maana mimi ni first year mtarajiwa kusomea hii kozi.
Hbr wadau naomba kujua ukisoma masters au postgraduate diploma kutoka ITA ajira zinapatikina kwa urahisi kama jibu ni hapana masters gani au postgraduate diploma ipi inalipa na ajira ni rahisi...
Mkuu nahitaji kufanyiwa marekebisho katika Application ya chuo , Hapo udom
Napiga Simu zenu hazipokelewi.
Email hazijibiwi.
Katika kuomba chuo nilikosea kuweka namba yangu ya First sitting...
Mfumo wa Elimu ya Afrika tulioachiwa na Wazungu ni mfumo unaoharibu Akili na Saikolojia ya Wanafunzi.
Wazungu wao wanasoma Elimu ya Maarifa na Wanasoma Future, sisi Afrika tunasoma vitu visivyo...
Habari wakuu,
Kupitia uzi huu tupeane updates kuhusu maombi ya mikopo kupitia HESLB.
Ikiwa unapata utata wowote ule, uweke hapa na wajuzi wa mambo watakuelekeza cha kufanya.
Cha muhimu tuwe na...
NOTE: THIS EXAM IS NOT NECTA.
ITS EXAM FOR SELF-TESTING ONLY.
Our Online examination systeam is conducting exam online to measure the knowledge of the students from primary to secondary level...
Mdogo wetu wa mwisho amechaguliwa kusoma kozi inayoitwa "Bachelor of Public Sector Accounting and Finance" chuo cha TIA pia kachaguliwa Banking and Finance UDSM.
Naomba ufafanuzi juu ya course ya...
Ndugu zangu samahni kwa usumbufu ila naomba kama kuna mtu anafahamu lolote kuhusu course ya health Information science (diploma), ajira yake ni ipi, uwepo wa ajira , salary yake and any other...
Wakuu,
Nimetembelea leo tovuti ya chuo cha Uhasibu TIA kupitia domain yao ya tia.ac.tz hicho nilichokutana nacho nimeshangaa!
Tovuti inaonekana haina SSL Certificate, Sasa ukienda Google chrome...
Habari za muda huu wanajamvi, Nianze tu kwa kusema kuwa Kuna upotoshwaji mkubwa juu ya program mbili hizi(BA.Ed/BSc Ed vs B.Ed) ambapo watu wengi wamekuwa wakitoa maelezo ambayo si ya kweli...
Niende moja moja mimi natamani kujiendeleza lakini sio katika fani ya ualimu tena naomba mnishauri nisomee fani gani nzuri kwa matokeo haya iv 27 miaka ile history c, math f, civic d, geography d...
Assalam Alleykum. Ninahitaji mwalimu kwa ajili ya kufundisha dini ya Kiislam. Sehemu alipo mwanafunzi ni Luguruni, Morogoro Road.
Mwalimu lazima awe mwanamke na mwanafunzi hajawahi kusoma Quran...
Habari wakuu,
Natumaini mpo gud lengo la thread hii wakuu naomba msaada wa mtu anayewezanipa list ya Vyuo vinavyo toa kozi ya Human resources management kwa Dar es Salaam
Wakuu msaada naomba kufahamishwa shule ya bweni nzuri na salama kimalezi kwa mtoto wa miaka minne ndani ya mkoa DSM na Pwani, nina dharura inabidi mtoto akakae kwa mwaka moja
Natanguliza shukrani
Habari zenu wakuu, naomba kuuliza hivi bodi wakishafunga dirisha la kuapply mkopo Huwa wanatoa nafasi nyingine ya kuapply? Maana mdogo angu Cheti chake cha kuzaliwa kilipotea na Rita wanamzungusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.