Ninajua hii itaondolewa hapa haraka,, some na usambaze. Chanjo ya covid 19 inamtengeneze mtu mpya. Hutakuwa wewe tena wala watoto wako, na vizazi vyakkko vyote. Ndiyo sababu inapigiwa kelele kwa...
Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine
Binafsi sifahamu njia za kupitia ili...
Kozi nzuri kwa mwalimu wa shule msingi anayoweza kuchukua kwa kiwango Cha degree, kozi yenye wigo mpana pamoja na fursa, chuo gani?
Ufaulu div 3.13 HGK
Anayetaka mawazo yenu ni in-service wa miaka 5
Habari ndugu,
Samahani naomba kwa anayefahamu ni chuo gani kilichopo DAR kinatoa course ya Counseling au Counselling psychology kwenye level ya post graduate. Natanguliza shukurani.
Regards
Aqua
Tax Computation on Imported Motor Vehicles
For non-utility vehicles of less than eight years old from the year of manufacture.
Illustration 1
Imported non-utility vehicles with engine capacity...
Jamani kwa mwalimu mwenye kufahamu hizi formula za excel ktk kutafuta GPA, POSITION(asending or descending), SUM kwenye kupanga matokeo ya wanafunzi. msaada tafadhari.
Habari ya jumatatu wandugu.
Hii nafasi ni kwa watoto wasiokua na wazazi/yatima na waliokua kwenye mazingira magumu
Unatakiwa kufika na mtoto tarehe tajwa saa moja na nusu asubuhi - Zingatia muda...
Habari ya uzima wanajamvi? Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu ya msingi. Mimi ni mdau wa elimu nimekua nikifatilia kwa kiasi mijadala inayohusiana...
Habari wa kuu, kama swali lilivo ningependa kujua kama mtu ana GPA za lower divisions , kisha anakazana kusoma Masters mpaka PhD, kuna opportunities gani atapata maana tumezoea hayo kwa...
Access Bank and Udacity will provide 1,000 Nanodegree program scholarships for people in Africa to build practical, in-demand, cutting-edge tech skills. The scholarship will create upskilling...
Wahitim weng wa Foundation progra wanalalamika kuwa hawajapata chuo kwenye first round!
Wew uliebahatika kupata kwa kutumia hayo matoke ya Foundation course njoo uwape moyo wenzio,ikiwezekana...
UFAULU wa mtihani wa kidato cha sita kwa mwaka huu umepungua kwa asilimia moja ikilinganishwa na mwaka jana.
Wavulana wameibuka kidedea kwa kushika nafasi zote 10 bora.
Pamoja na hayo...
Naomba kuuliza. Kwa mtu mwenye leseni class c1, c2, c3 ambayo aliinunua yaani hana cheti cha veta, je akihitaji kwenda kusoma kozi ya basic driving ili apate cheti anaruhusiwa???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.