Naomba kuuliza hivi, ni kweli et kuna wanachuo wanaosomea diploma ya elimu ya awali? je kama wapo wataajiriwa na serikali au vip maana kuna mtu kaniambia et kuna wanachuo wanasoma diploma miaka 3...
Jana raisi alizindua sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2015.
Kwa mujibu wa raisi, sera hiyo inalenga kuboresha elimu, baada ya kufanikiwa kupanua elimu.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi...
Wasalaam
Wakuu nataka kufanya certification ya hizi program NCSE na ITIL
Kwa tanzania wapi naweza kupata team ya kufanya discussion+test before zijapiga paper
Kuna hii kozi inatolewa na Veta dsm inahusika na ufundi wa office machines kama printers na photocopy machine.
Nimewiwa kuisoma hii kozi naomba kufahamu soko na faida ya hii kozi.
Ufaulu wa D mbili Na C moja masomo ya social form 4 anaweza enda chuo ? Maana mimi ninajua D nne ndio zatakiwa lkn mwl nyerere wamekataa.
Msaada apate chuo jamani.
Wanajamvi, Habarini za Leo!
Ninaomba wizara husika na baraza la mitihani la Taifa (BAMITA) AU NECTA watueleze kipi haswa kinachofanya wasitoe ratiba ya mitihani ya vidato hivyo mpaka muda huu...
Mwenye ufahamu kuhusu diploma in primary education inayotolewa open university ,naomba anisaidie kujua vifuatavyo
*Namna jinsi kozi inavyotolewa
*Ada na gharama zote kwa mwaka
*Others...
Hivi mtu akirisiti somo mfano: Amesoma pcb ila anataka arisit labda physics tu. Je, akishindwa kulifauli inaathiri matokeo ya mwanzo.??? Na je kuna uwezekano wa kuli reseat tena kwa wakati mwengine?
Ikitokea mwanafunzi ajapanga maswali yake vizur mnasaishaje huo mtihani Mara nyingi inatokea kwasababu ya kukata kata labda ameanza No 1,4,3,akaja 2 vipi msaishaji atamkata max kwa kutofata...
Wazazi wengi mmekuwa kikwazo cha watoto wenu katika kufikia ndoto zao na malengo yao. wazazi wengi mnawalazimisha watoto wenu kufanya vitu mnavyovitaka nyie na sio wanavyovipenda wao ...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kumekuwa na ukatishaji ndoto kwa watoto na unyanyasaji mkubwa wa vipawa na machaguo ya watoto hasa pale wanapotaka kusoma au kufanya kitu ambacho mzazi...
Habarini za kwenu wanajamvi.. ni matumaini yangu mu wazima wa buheri kabisa.... Naitwa Mwl. Victor Nyanda ni mwl mtarajiwa wa shule ya secondary nyampulukano iliyoko sengerema mkoa wa mwanza... sa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.