Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu nahitaji msaada! Eti Bachelor of environmental science ni course unayomuanda mtu kwa career kama zipi?? Msaada tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
10K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nimejaribu kurisiti PCM naona naangukia pua tu wakati niliorisiti nao wapo vyuoni sasa na wote wamerisiti masomo ya sanaa. Serikali inabidi ijue kwamba sayansi...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa hapa bongo daktari wa Diploma ni mzuri zaidi kuliko yule wa degree. Daktari wa Diploma kwanza ananidhamu ya hali ya juu pia wanafanya practical za kutosha kuliko wa degree. Degree holders...
5 Reactions
77 Replies
12K Views
Wakuu habari?. Hivi jamani kuna chuo gani kinatoa hiyo kozi hapa tanzania? msaada wenu wakuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kaka habari za leo wanajukwaa naomba ushauri toka kwako Nataka kusoma masters na tayari nimepata kudahiliwa chuo kikuu kwa kozi ya masters of natural resorce management Ushauri niuombao ni...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
ELIMU TANZANIA SHIDA NINI? kwa mjibu wa Jamii Forums, Mwaka 2017 wavulana 36,434 waliacha shule, na wasichana 29,708 waliacha shule Katika Mwaka huo na kufanya jumla 66142. Miaka mitatu baadaye...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Niliacha chuo kikuu mwaka wa tatu kozi yenye miaka minne.Je kuna uwezekano nikapata hata cheti kwa miaka hiyo mitatu?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23. Shikamooni wa kubwa rikaa yangu habari zenu natumain wote ni wazima na mnaendelea vyema na jukumu la kulijenga taifa letu lenye kubarikiwa na Mungu...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari za saivi wana JF, Nimekutana na changamoto apa mwanzo niliattach vote card ya mdhamini ila ikajitoa kwa bahati mbaya kwenye system sasa kila nikiingia nakutana na maelezo ya kuweka tena...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu habari za kushinda???.. ndugu zangu wakuu.. naomba mwenye kujua hili anisaidie na aseme lolote.. nilipokuwa naomba mkopo.. nilijaribu kuwa makini sana na kuweka all required details...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Nini maana ya 1)Ground Substance? 2)Je Fibrous Protein na Fiber ni kitu kimoja? 3)Nini maana ya Extracellular Matrix 4)Basement Membrane 5)Inflammatory ni Nini 6)Bone marrow
0 Reactions
2 Replies
690 Views
Bachelor degree of education in policy, planning and management vs adult education and community development kwa in-service ipi bora?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Physics C,chemistry D,bios D....nataka kusoma medical doctor niombe chuo gan najua serikali siwez pata nishaurini vyuo vyengine [emoji120]
0 Reactions
4 Replies
744 Views
Mfano Nesi kwenda kusoma Healthy Management System? Na akimaliza kusoma anabadilishiwa majukumu?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu samahani nilikuwa nauliza kwa mtu mwenye ufaulu wa div one ya8 (1.8) HGL kwa ufaulu wa mwaka huu 2021 ulivyo na ushindani uliopo pale UDSM je, ana asilimia kubwa kupata kuchaguliwa kozi ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habarini za mida, Leo nataka niwahabarishe baadhi ya fursa za masomo huku ughaibuni na njia rahisi yakuzifikifikia. Zifuatazo ni baadhi ya full funded scholarships zisizohitaji GPA ya 3.7...
10 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wadau wa Elimu, Nipo njiapanda kuchagua kati ya hizo Masters mbili tajwa hapo juu lengo nifanye ACCA na CPA(T) baadae. Napokea mawazo na ushauri kutoka kwenu wakuu.Karibuni
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Moja ya jambo ambalo vijana wengi wanafanya wakiwa katika kuchagua course za kusomea chuoni ni kufata mkumbo na kuiga kile ambacho wenzao wamechagua. Wito wangu kwa form six wote waliomaliza sasa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hello members, Nimeanza kusoma CPA NBAA Tanzania. Nipo foundation Level. Bado sijatembelea vituo vingi vya tuition. Najisomea taratibu kila nipatapo chance. Karibuni tujadili mawili matatu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu, kuna mdogo wangu ni graduate engineer, amefanya kazi miaka mitano kwenye kampuni ya mambo ya umeme, na sasa anaandika report ya kuwasilisha ERB ili aweze kusajiliwa awe professional...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom