wasalam wakuu
Jmn naomba msaada wenu wapenzi kwa wanaofahamu vyuo vinavyotoa kozi fupi za MAFUTA na GESI kwa hapa Tz;haijalishi kipo wapi ndani ya Tz mahali popote tu ntafika pse nisaidieni...
Im a student at one of the Universities in Tanzania, majoring education and economics
I read this paper regarding education in Tanzania and I found it worthy to read. This is one of those papers...
Habari gani ndugu zangu,
Mimi ni mwalimu nimekuwa nikifanya mchakato wakubadilishana vituo vya kazi na mwenzangu tangu mwaka jana na mwezi uliopita TAMISEMI wametoa majina yetu (awamu ya tatu)...
Round ya kwanza ya udahili inafungwa August 5, 2021 hadi leo vijana walioitwa JKT kwa mujibu wa sheria wamefungiwa makambini (mf. Mgambo).
Inabidi wengi wajaziwe na ndugu au rafiki zao...
Karibia wiki nataka nimtumie mdogo wangu maombi ya chuo cha afya kupitia nacte lakini system haifunguki. Kila nikiingia inaandika error.
Tatizo nini kwa wenye ufahamu.
Naombeni kuuliza tofauti kati ya hizi kozi, na muhitimu wa hizo kozi wanafanya kazi gani baada ya kumaliza hususan kwenye upande wa afya.
1. Barchelor of sciences in health information system AND...
Habarini viongozi!
Kuna jambo nimekuwa nashindwa kabisa kuelewa kabisa. Kwa miaka ya hivi karibuni naona kama watoto wa siku hizi let say kutoka darasa la saba kwenda sekondari imekuwa easy sana...
Wakuu,
Kama mada inavyojieleza,
Kwa waliomaliza diploma mwaka huu na bado hawajapata vyeti vya diploma,
Utaratibu upoje pale wanapotakiwa "Ku_upload diploma certificate" kwenye system ya...
Wakuu poleni na majukumu ila nilikuwa naomba mchango wenu kweny jambo ambalo nataka kulifanya kwamba je litakuwa na faida mbeleni.
Mimi nimemaliza form six saa hizi ndio naapply vyuo, nimeapply...
Habari zenu wana JF?
Nakuja mbele zenu kuomba msaada kwa ambao washawahi kupublish vitabu au wana uelewa juu ya kampuni zipi hapa Tanzania ambazo ni nzuri kwa kuchapisha vitabu.
Kuna Serengeti...
Kwa matokeo haya Phy C, Chem D, Bios E naombeni ushauri nisome kozi gan nzurii tofauti na education
Nilikua napenda medicine lakini vigezo sina, na diploma simudu ada.
Moja kwa moja kwenye mada ...
Wakuu kuna rafiki yangu amefanya maombi ya mkopo.. kila kitu kafanya sawa .. vyeti vyote ameweka safi tu.. na form aliipereka posta kuituma.
Baada ya siku mbili...
Sorry waungwana naomba ushauri kati ya bachelor of accountancy na bachelor of accounting and finance ipi kati ya hizo iko poa zaidi. mawazo yenu ni muhimu kwangu ahsanten[emoji288]
Wadau mimi naomba mkopo bodi ya mkopo, nina stashahada, kuna sehem ya ku apload cheti cha diploma, napenda kuuliza cheti hiki kinakua original au copy ambayo ni certified?! Nawapigia bodi ya...
Habari ndugu wanaJF, naomba msaada kwenye tuta niweze kufahamishwa shule za serikali za sekondari za wasichana tupu (single sex) ambazo zina wastani mzuri na andelevu kwa muda mrefu nchini
Naomba...
Awali ya yote nianze na salaam,,,natumai muwaafya njema.
Nije direct katika maada. Mimi nimesoma kiasi sikufanikiwa kufika elimu za juu.
Nilkuwa naomba msaa juu ya kuandika Barua ya kazi.
Namna...
Wakuu heshima yenu,
Kuna dogo ana ndoto ya kuwa mwandishi wa habari na muaandaji wa vipindi vya TV na redio.
Anaomba kuelekezwa chuo kizuri cha taaluma hiyo kwa ngazi ya diploma kiwe cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.