Hellow,
Poleni na majukumu. Nina imani mu wazima. Wakuu naomba mnifahamishe kwa hapa Dar ni chuo gani kizuri, ambacho mtu anaweza akasoma mambo ya production na akaiva vizuri?
Hapa namaanisha...
Naomba msaada wa kutajiwa vyuo vizuri private Kwa kozi ya clinical medicine, itakuwa vizuri kama hicho Chuo kipo karibu na hospital ama ni university college, marks zangu ni bios-A Chemistry-A...
Habari za saa hii wakuu
Jamani nilikuwa naomba ushauri wa nini cha kufanya, nimechagua programme tano za kusoma bila kutarajia kwenye chuo kimoja ambacho ni MBEYA COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED...
Habari humu ndani.
Hoja yangu ni fupi inahitaji maoni yenu.
Ada za vyuo zinalipwa kwa mfumo wa control number.
Nimelipa ada ila kuna mtu nilimuomba anilipie anataka kunilipia kiasi amenipa...
Wakuu,
kuna chuo kimeorodhesh hizi kozi mbili kuwa zinatolewa sasa mmi sijaelewa tofauti yake maana kwa mimi nimeona Kama vile zinafanana lakini wao wamezitofautisha hata muda wake wakuzisoma...
Habari zenu wadau na mdogo wangu kapata div one point 8.
Chem-B
Phy-B
Bio-D
Anataka kusomea udactar je atapata na aombe vyuo gani ili afanikish ndoto yake
Inakuaje wadau,nilikuwa ninauliza hivi hiv hii koz ya urban and regional planning ndio ikoje,na je vipi kweny ishu za ajira kwa koz hii n changamoto au inakuaje.
Mzumbe University invites applications from qualified Tanzanians and non-Tanzanians for admission into Certificate, Diploma Bachelor and Postgraduate programmes offered by the University for...
Hivi huwa najiuliza inakuaje mtu anajifunza kitu flani hafu kukiapply anahitajika apate license kwa kiwango flani Cha pesa kwa mfano
1.Mtu anaenda shule unatoa ada unatumia mda wako unajifunza...
Kwanza nianze kwa kuwapa pole kwa kuongezeka kwa gharama za asubuhi uendeshaji wa maisha ikiwemo kuongezeka kwa tozo za miamala ya simu, Kupanda kwa Bei ya mafuta n.k.
Utaratibu wa wasomi...
Habari zenu nina shida ya notes za kifaransa za A-level pamoja na majina vitabu vya riwaya na tamthiliya vinavyotumika kujibia maswali.
Na kama kuna mwalimu au anayeuza vitabu hivyo naomba...
Jamani naomba link ya kuniunganisha kuomba online vyuo vya Diploma ya ualaimu kwa Chemia na Biology au Vyuo vya kilimo.
Nimeangalia NACTE sioni Link pakuomba.
Mwanafunzi ana CEE ya CBG...
Mwenye anaweza kunisaidia please!
..kuna dogo amemaliza f4 na kuchaguliwa high school HGL
Unfortunately enough dogo hana interest kabisa na masomo ya arts ..yeye ni hama asome PCB au aende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.