Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ninaishauri serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuanzishwa kwa mtaala wa ujasiriamali katika kila level, ili iweze kuwasaidia vijana wengi pindi wanapomaliza au kuhitimu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada jamani wadau kwa yeyote aliyefanya application chuo cha SUA ,anisahidie najaribu kuchagua kozi ninazo zitaka ila sioni sehemu ya ku save baada ya kuchagua
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF, natumai muwazima wa afya. 1. Naomba kujua ni muda gani ambao mtumishi {mwalimu} anapaswa afanye kazi ili awe na vigezo vya kupewa ruhusa ya kwenda masomoni bila kusimamishiwa...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Jamani dogo langu kapata one ya 9(pcb), je anaweza pata course ya MD kwa vyuo vya serikali?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wakuu, Ngoja nisipoteze muda nahitaji msaada wa pendekezo la course ya kusoma chuo kati ya hizi zifuatazo: 1. BSc. Land management and valuation-Ardhi University 2. BA. Economics-Aru or...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari Wana jf, Dogo hapa amepata matokeo ya PCM(C,C,D) respectively na anadivision 1.16 lakini aliomba chuo hawakumpa KIPINDI Cha selection Sasa tumejalibu kuapply. Je, kwa ufaulu huu katka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini, ndugu yangu amepata division 3 point 15 matokeo yake ni kama ifuatavyo Chemistry-S Biology-E Geography-D je anaweza kweli kupata chuo degree yoyote hapa kwetu. nimesikia pia wasichana...
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Habarini wanajukwaa Wakubwa naomba msaada wa kimawazo kuhusu chuo Naomba mawazo yenu natamani kwenda kusoma kozi ya chemical engineering au nisome production and operation management pale mzumbe...
0 Reactions
45 Replies
8K Views
Ninamdogo Wangu Amemaliza Form six Amesoma CBG lakini Matokeo yake ni kama ifuatavyo Chem:E Bios:E Geog D Bam:E Gs:E Amekosa sifa zakwenda chuo kikuu so inabidi akasome diploma na Muhusika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwenye mchakato wa ku-apply SUA kwa mfumo wa online, wakati wa ku- register account unaambiwa "email not sent" na ukijaribu ku-recover password kwa kuweka username na phone number unaambiwa "wrong...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale wenye uzoefu katika suala la kuappeal emu tusaidiane. Mimi mbona nikijaribu kulogin kwenye account yang inakubal kuloig lakin haioneshi distribution ya mkopo wangu. Maana nilipata mkopo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini! Hapa naomba msaada nahitaji kusomea software engineering hapo DIT. Maswali yangu: 1.Je inaitaji kombi gani kwamimi sijasoma chemistry nina physical tu? 2.ufaulu kiasi gani? 3.Je ada...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Tuko zama za kuchagua kozi kwa busara na si kusoma tu. huu ni uwanja wa wazoef katika uwekezaji kielim. binti yangu alipata div 3 pcm. nimwelekeze mlengo gani kifani?
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Natafuta shule nzuri ya Nursery kwa Mbeya.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza kabisa namshukuru mwenyenzi Mungu na then na washukuru Job Junction Tanzania kwa mafunzo ya interviewees skills na huduma zao wanazo toa. Mm kabla sijawatembelea Job Junction Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye past papers za A-level za Physics, Chemistry, Biology na Geography za mwaka huu.
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Wadau wa Jf ,nina mtoto wa kike kamaliza darasa la saba , sasa wamempaga shule ya kata ,shule yenyewe haifanyi vizur kabisa,na mtoto wangu uwezo wake ni mzuri kiasi ,amepata wastan wa B ,kwa maana...
0 Reactions
44 Replies
23K Views
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mwanaidi Ali Khamis akiongea na wananchi na viongozi Wilayani Kibondo Taarifa kwamba huko mkoani Kigoma, kila siku ya miezi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini za muda huu Ndugu zangu. Naomba msaada wenu! Kuna kijana wangu aliyemaliza kidato cha Sita yupo JKT kwa sasa hivi. Naomba ushauri ni fani zipi au idara zipi zitamfaa kujaza kwenda Chuo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi nasoma HGL hivi chuo naweza kusomea GEOLOGY?
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom