Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Ndugu wanajamii forums, Habarini za asubuhi. Naomba tuweze kusaidizana kwa MITIHANI mbalimbali kwa watoto wetu. Nimeanzia primary lkn naendelea kuweka MITIHANI mingi zaidi
1 Reactions
1 Replies
616 Views
Kwa wale wahitimu wa diploma ambao hatujapata AVN kutoka NACTE kutokana na vyuo kuchelewa ku upload matokeo ya diploma kwenye system ya NACTE. System ya Ku upload matokeo NACTE, itafunguliwa...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Habari wana jukwaa naomba msaada nahitaji kujifunza ufundi simu especially upande wa hardware, nipo bagamoyo naomba msaada labda mtu mwenye idea nianzie wapi? Au kama kuna fundi pia wa simu upande...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni matumaini yangu mu wazima na mnaendelea vema na majukumu ya hapa na pale Kuna hii kozi inayoitwa health information system (HIS) inatolewa UDOM ninaomba kujua inahusika na nini na pia mtu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, mie nina kijana aliyemaliza kidato cha sita na sasa yupo JKT kwa mujibu wa sheria. Nimepata taarifa kuwa mwaka huu vijana hawaruhusiwi kurejea nyumbani kipindi cha kutuma maombi ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hata maneno na michoro ni biashara na fahari kubwa me nadhani imefika muda kama taifa kuanza kusoma elimu zote kwa kiswahili na inawezekana msikariri kwamba lugha yetu haiwezi kutuletea mapinduzi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa matokeo haya anaweza kupata medicine? Division one ya 9 G/STUDIES - 'D' PHYSICS - 'B' CHEMISTRY - 'C' BIOLOGY - 'D' BAM - 'C'
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari zenu , wapendwa mm naitwa elia,nmemaliza diploma ya ualimu secondary mwaka huu,sasa changamoto yangu ni wakati huu wa ku apply chuo kikuu ambapo kila nikitaka verification number inakataaa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Najaribu kuomba kozi , tatizo ninalolipata ni kuwa ukienda kwenye Colleges na kubonyeza link ya offered programmes haileti hizo offered programmes eg. College of health sciences. Hii ni kwa...
0 Reactions
2 Replies
886 Views
1.0 Call for Application The General public is hereby informed that the Ireland-Africa Fellows Scholarship programme for 2022/2023 academic year is now open for eligible Tanzanians to study a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa aliyefanikiwa kuapply dit hyo control namb ilifika baada ya muda gani,,Mimi nimerequest masaa matatu saizi sioni kinachoendelea
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za muda huu wadau, hiv majuzi niliuliza kuhusu wanafunzi majina yao yalitoka kuwa watapangwa second selection advance lakin hawakupangwa, sasa naomba msaada hapa, naona NACTE wamesha fungua...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana jf nmekutana na changamoto kwenye kuprint and submit application siku ya nne leo haitaki nifanyaje au tatzo ni nini?
0 Reactions
0 Replies
885 Views
Msaada na mdogo wangu amesomea CBG na matokeo yake ni kama ifuatavyo CHEM B BIOLOGY C GEO B BAM C GS B ILA FORM 4 ALIKUWA NA F YA MATH ILA ALIKUWA NA BIOLOGY B GEO C CHEM B NA MENGINE YOTE NI C...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu neema ya bwana iwe juu yenu naombeni msaada juu la hili. Nilikuwa nahakiki cheti cha kifo lakini katika harakati za kufungua account na kureigister waliniambia eti wananitumia TOKEN kwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wandugu, bado kuna shida ya kupata control number. Tetesi ni kwamba, kuna baadhi ya waombaji walisogea karibu na jengo la bodi, wakidhani kwamba pale ndipo mtandao utajibu haraka. Wengine...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kazi Samahani naomba kuuliza: Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi mwenye ASTASHAHADA tu natamani kujiendeleza angalau kufikia SHAHADA Sasa najiuliza je, baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada wa chuo chochote nje ya nchi kinachotoa kozi za IT kupitia mtandao/online. Muhimu: 1. Kinatambulika na TCU 2. Kitoe cheti 3. Gharama nafuu.
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Hiki chuo naona kwa nyakati tofauti kimekuwa na tabia ya kuzuiwa udahili ba TCU. Naona msimu huu pia hamna kitu ila mwaka jana walidahili. Tatizo kubwa ni nini pale SFUCHAS. Mbona product zao ziko...
0 Reactions
1 Replies
739 Views
ELIMU KUCHUKIWA Habari wanajamvi natumai hamjambo napenda kuanza kama ifuatavyo wahitimu wengi hivi karibuni wamekua hawafurahishwi na usomi wao pamoja muda mwingi na nguvu nyingi walizo tumia...
1 Reactions
0 Replies
755 Views
Back
Top Bottom