Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naitwa Mourine Elisha, mwanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha( IAA), Niko mwaka wa pili nikichukilia Bachelor degree in Economics and finance. Natafta sehem kwa ajili ya field I'm competent in...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Binafsi nimebahatika kusoma chuo kwa Tanzania kilicho na kozi nyingi za Bachelor Degree kuliko vyuo vingine, Chuo kikuu cha Dodoma, Nilikuwa nasoma Shahada ya kwanza ya Ualimu katika ndaki ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za wakati huu, Wale tuliochanguliwa UDSM kwa mwaka wa masomo 2020/2021, karibuni tupeane details zinazoendelea kwa ajiri ya joining instructions, Admission letter na hata taratibu...
2 Reactions
95 Replies
15K Views
Nimemaliza mwaka huu 2021 PCM division 2.12 na matokeo yafutayo: Physics D Chemistry S Advance mathematics B Naombeni ushauri ni course gani itafaa kwa ufaulu huo.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ELIMU BORA ITAKAYO FANYA MAPINDUZI YA KIUCHUMI TANZANIA Neno elimi lina dhana pana sana ki maana, wapo walio sema elimu ni dira, elimu ni ufunguo wa maisha n.k Kwa maana hiyo basi elimu ni...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nina kijana wangu anataka kusoma hiyo kozi chuo kikuu,sasa sio mjuzi sana kwenye maswala ya vyuo vikuu vinavyofundisha vizuri,maadili na hata huduma...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu wadau. Naomba kuuliza kwa Waliomaliza Diploma wanatakiwa kuambatanisha nini katika kuapply mkopo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu nina shida ya notes za Kifaransa za A-level pamoja na majina vitabu vya riwaya na tamthiliya vinavyotumika kujibia maswali. Na kama kuna mwalimu au anayeuza vitabu hivyo naomba...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Wakuu hii mada naomba tuijadili hapa. Binafsi kama sioni fyucha ya vijana wa PCM Tanzania. Haijalishi kapiga one kali au ya kawaida. Mada ni hii hapa mezani. Je, Wanaohitimu PCM wanafyucha...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
.
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Samahani wakuu nilikuwa napitia website ya NACTE kuangalia sifa za wanaotakiwa kujiunga na hii kozi. Naona maelekezo yote yanaonyesha kuwa anatakiwa mtu aliyemaliza Form four. Sasa kuna hawa...
0 Reactions
8 Replies
22K Views
Wanangu kwema! Je, katika elimu ya chuo kikuu, kwa coz mfano ya Bachelor of education in management and administration, topic zake huwa zinajulikana kwa Kila semister kiasi kwamba mtu anaweza...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ujasiriamali ni jinsi ya kubaini matatizo au changamoto zilizopo kwenye jamii husika na kuzitatua changamoto hizo kwa kubuni mbinu ama vitu ambavyo vitapunguza ama kumaliza kabisa changamoto hizo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MAOMBI YENYE KUBAHATISHA kawaida kila mtu mwenye uhitaji ni lazima ajitutumue kuhakikisha anafanikiwa kwenye malengo yake alojiwekea kwa namna moja ama nyingne katika mazingira aliyopo na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Binafsi nimebahatika kusoma chuo kwa Tanzania kilicho na kozi nyingi za Bachelor Degree kuliko vyuo vingine, Chuo kikuu cha Dodoma, Nilikuwa nasoma Shahada ya kwanza ya Ualimu katika ndaki ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar wakuu naomba mnijuze biomedical engineering nicourse inayohusika na nin na inapatikana chuo gani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wanaelimu. Je, inawezekana kwa mtu mwenye Diploma ya Computer Science kuapply Bachelor ya Accounting? Asante, kwa ushirikiano.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu natafuta well competent person either student au Mtu aliepo Uraiani anaemudu vizuri kutumia izo software ili aweze kunifundisha, Aje dm Location: Morogoro Mjini
0 Reactions
3 Replies
662 Views
Katika Darasa Huru, Ushauri serikali ianzishe au kurudisha masomo yaliyo kuwa yanafundishwa zamani ili kusaidia kutokana na anguko la Ajira. Masomo hayo Ni kama vile. 👉Sayansi kimu, Maarifa ya...
0 Reactions
1 Replies
578 Views
Back
Top Bottom