Jaman naombeni msaada na ushauri pia mm ni muhitimu wa kidto cha sita 2021 na nimepata dvsion 1ya 9 nataka kusomea sheria UDSM au Mzumbe je inawezekana?
Wana jukwaa natumaini mpo salama muda huu na poleni kwa majukumu ya kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
Nina wadogo zangu (mmoja ndo mdogo wangu wa damu na wawili ni rafiki zake...
Je unatafuta Sehem ya kusoma CPA Review Classes?
BCC Financial Consultants ni sehem sahihi ya kuweza kufikia Ndoto yako....huto jutia wala kujilaumu,
Kuna walimu wengi na Wazuri Sana (Wanajua...
Bodi ya Mkopo imefungua leo usiku maombi ya Mikopo kwa wanafunzi.
Fungua link hii kufanya applications. https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/pre_applicant/
Kwa wakazi wa Tegeta, Boko , Bunju...
Kuna umuhimu gani au lengo kuu la kuwa na uwongozi wa serikali ya wanafunzi vyuoni inayoundwa na viongozi walioko chini ya mwamvuli wa chama cha kisiasi ni lipi /gani?
Moja ya jambo ambalo linatakiwa kutiliwa mkazo kwa sasa ni namma ambavyo mfumo wetu wa utoaji elimu unavyoathiri vizazi vyetu hasa vijana.
Ni mfumo ambao unalenga sana kuwaandaa wanafunzi kuwa...
Huu ni ukweli mchungu. Tukubali TUKATAE.
Huwa nacheka sana nikisikia vyuo vinatangaza nafasi za masomo, hasa hivi vyuo uchwara. Unajiuliza kwa ajili gani?
Vijana wanapoteza muda wao na fedha...
Hapa iwe sehemu maalumu ya kuchukua maoni ya wadau kuhusu maboresho ya Mtaala wa elimu Tanzania
Naomba wizara iwe inapita kwenye huu uzi
1,Somo la historia ya Tanzania liwe somo la lazima ila...
Walimu wa Geography naomba points hata 4 za swali hili.
It is argued that, population growth in developing countries has become the big problem. verify the statement by giving eight points.
Habari!
Ushauri huu unawafaa vijana waliotoka familia za uchumi wa chini na kati. Imekuwa kama desturi watu wa maisha ya chini na kati kuishi kwa bahati, yaani family haina mkakati kabambe juu ya...
Chagua swali kisha jibu, nitapitia jibu lako kwa kuweka reaction ("thanks👍" ikiwa umepatia na " Wow😲" ikiwa umekosa).
1/ Which grows faster?
A. Hair
B. Finger
C. Nails
2/ I have...
guys naomba ushauri nimesoma comb ya HGE lkn toka o level nilipata "F" ya math hadi advance lkn ninashida xana ya kusomea biashara chuoni.na nimepata division 1 ya 9 advance.nifanyaje
Sent using...
Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
Ndugu wanajamvi salam kwenu nyote. Jamani nina kijana wangu wa kike amemaliza four mwaka jana na kupata div 4.
Katika kihangaika kutafuta pahala pa kumpeka kuna jamaa yangu kanielekeza hapo...
Kuna Bs in environmental science and management na Bs in laboratory science and technology ziko Ardhi University.
Swali ni.. zinafaa kumshauri mtu akasome "in terms of" soko lake uraiani na ugumu...
Mpatie mwanao kitabu hiki chenye muongozo wa namna ya kuweza kufaulu mitihani yake.
Ni kitabu kilichojaa mbinu za kusoma na kuelewa kile anachokisoma,mbinu za kukumbuka kile alichokisoma,mbinu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.