Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba kujua, kuna utofauti gani kati ya course ya IT na ICT? Msaada tafadhali.
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Fuata hiyo Link ya Serikali: https://matokeo.necta.go.tz/
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Hatimae shule ya wasichana machame, baada ya kuingiza ingiza wanafunzi top ten miaka iliyopita hapo nyuma, hatimae Rasmi inefanikiwa kutoa Tanzania one matokeo KIDATO CHA SITA 2021 Pongezi kwa...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Matokeo ya form six amepata chemistry C biology B na physics C ana div one ya 8 nauliza wadau uwezekano wa kupata chuo na mkopo 100% upo!?
1 Reactions
4 Replies
808 Views
Ndugu wana jukwaa Wa JF ,naombeni mnijulishe ada ya kusoma diploma medicine kwa vyuo vya serikali tafadhali. Msaada wenu tafadhali wakubwa.
1 Reactions
44 Replies
83K Views
Hivi unaweza tumia cheti cha kuzaliwa ulicho hakiki mwaka jana Rita kuombea mkopo? Msahada plz wa jibu
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde anatangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu iliyofanyika Mei 2021. Ameeleza kuwa ufaulu wa wanafunzi...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Bila shaka natumaini mpo salama wakuu. Moja kwa moja kwenye mada. imegundulika dhahiri shahiri kwamba wanafunzi wanaosoma advance na kujiunga na chuo kikuu wanakuw shallow sana ukicompare na wale...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Nlikuwa nataft principal ya economics hakika nmeipata"C",matokeo ya awal yalikuw n EDE,(hge),saivi naweza omba chuo na mkopo nikapewa 100%? Kwa kozi za biashara?, geog v economics(DC),naomben ushauri
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Iko sokoni sasa, karibu kwa maoni na ushauri ,asante
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Samahan wadau, Kumekuwa na link inyosambazwa https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/user/register/repay?t=2 ukiingia inaonyesha deni tofauti na lile lililopo kwenye salary slip kwa wale...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wa kwanza msichana baada ya kukosa Law mlimani nikamwambia soma Education akaniambia mimi niitwe mwalimu haiwezekani. Akaenda kusoma BA History Mlimani hapo hapo. Kamaliza 2014, kapeleka barua...
11 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari namba msaada kujua chuo au College yoyote wanao fundisha Graphics design and Video production
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu, Ninaomba kupewa muongozo au msaada kua kati ya kozi hizo tatu za kilimo ipi ina tija na ni nzuri haina usumbufu mwingi mbeleni kwa pale SUA. Pia, soko lake zuri iwe kwenye...
2 Reactions
28 Replies
9K Views
Kati ya hizo course hapo ni ipi course ambayo ina wigo mkubwa wa ajira.🙏🙏🙏 Naombeni ushauri wenu kwa mwenye ujuzi 🙏
1 Reactions
12 Replies
960 Views
Naomba namba ya mwalimu wa alpha secondary Morogoro kwa anayezijua NATAKA NIKAJIUNGE NA ADVANCED hapo. Asante
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mkopo wa HESLB 2021 watumishi wanapewa?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello wakuu, Naomba msaada nimehitimu kidato Cha nne kwaka Jana 2020 na kupata grade C flat na nataka niingie college Je, kati ya course mbili hizi civil na electrical & hydro power...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa yeyote ambae na mawasiliano na mwalimu wa vyuo vya ufundi vifutavyo anisaidie 1: veta Chang'ombe 2: Veta pwani 3: Veta manyara 4: veta mtwara Maana sijajibiwa kwa njia ya email na simu zao...
3 Reactions
5 Replies
866 Views
Naomba mwenye ufahamu wa hii course anisaidie kujua chuo gani kinatoa content na kufundisha vizuri kati ya Mzumbe, IFM na IAA. IAA imenifurahisha zaidi maana kuna somo la Taxation tatizo sijui...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom