Mimi ni mwanafunzi wa diploma uguuzi na ukunga katika chuo cha afya jijini Mbeya niliamua kuarisha mwaka wa tatu kutokana na changamoto za ada maana kama kijana nimejitahidi sana kupambana maana...
Nimeangalia matokeo ya form six nimeshangaa kuona idadi ya shule za A level ni 610 tu nchi nzima. Kama nakumbuka vizuri, shule za O level zaidi ya 3,000. Na nyingi ya hizo shule za A level...
Naombeni kufahamishwa kuhusu vyuo vya ualimu na mgawanyo wa matokeo ya mitihani yake ya necta kama ifuatavyo:
Vyuo:
1. Nini maana ya DSEE, GATCE, na GATSCCE?
Matokeo:
2. Nini maana ya...
Habari wakuu,
Thank lord for another day of breathing. Back to point, I made a list of kozi nazoendana nazo (personality, passion etc) By looking at Respective UNI prospectus, and finally list...
Kuna mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu, anataka kuomba kusoma chuo nje ya nchi.
Anawezaje kupata result slip au cheti kwa haraka ili akamilishe maombi ndani ya muda.
Msaada wenu tafadhali.
Habari ndugu zangu watanzania,ndugu yangu kwenye matokeo haya yaliyotoka kidato cha sita amepata four ya 16 ,matokeo yake ni Biology =S,Chemistry=S na Geography=D. Sasa anaweza kupata chuo kusoma...
Kwanza nitoe pongezi wa ufaulu mzuri matokeo kidato cha sita. Hongeren wanafunzi, walimu ,wazazi na wadau wote.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Namna baraza la mitihn linavyopima watahiniwa...
Nataka kufahamu walimu wa CHETI wanaanza lini mwaka mpya wa masomo 2021/2022?
Nilimuombea dogo chuo ila mpaka sasa sijapata majibu yyte, je nitajuaje kama amepangiwa chuo?
Naombeni wajuzi mnisaidie
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2021 na kutaja shule kumi bora zilizofanya vizuri katika mtihani huo.
Akizungumza leo Jumamosi Julai 10, 2021...
Wakubwa wazimaaa?
Mdogo wangu amepata CCC EGM.
Kulingana na ujuzi wenu juu ya nchi yetu na uchumi wake. Naombeni ushauri wa kumpa huyu dogo juu ya kozi nzuri ambayo itmuwezesha kujiajiri...
Naomba kujuzwa kuhusu hii kozi itolewayo na OUT je inamfanya mtu awe competent katika field hii kwa kuzingatia mfumo wa open sio wa kuingia darasan mda wote. Waliowahi kuisoma au wenye kujua...
Habari za mchana wakuu, naomba kujua kozi zipi nzuri mdogo angu anaweza kusoma chuo kwa matokeo haya ya advance .
G/study............D
History.............C
Geography.......D
Economic........D...
Nimekuja na tokeo la vijana machachari kutokea KISIMIRI wakiendelea kunyosha misonge ya one kali.
Swali langu ni moja kwanini ni vijana wa PCM tu ambao hutoboa kupiga one za tatu tangu Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.