Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau, kwakweli sijaona mwaka ambao majibu ya form VI yamechelewa sana kama mwaka huu kwa hii miaka ya karibuni.. Ni miezi miwili sasa na Siku kadhaa toka madogo wamalize mitihani yao ila hadi leo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kuambiwa waoendoe 10% penalty na 6% kama VRF yaani huwezi amini balance ya Deni la heslb mwezi may na June 2021 inatofautiana kwa Shs 15/= tu wakati makato ya 15% kwenye basic salary...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna dogo alipata div 3 form four ila kwenye combination HGK yake alipata CBC. Sasa amechaguliwa chuo cha mipango Dodoma certificate ya mipango. Sasa amefika nyumbani akiniuliza kama Tamisemi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
933 Views
  • Closed
Mambo vp, Mimi ni kijana wa miaka 21 ninaishi Dar. Nilikuwa naomba ideas. Zenu maarifa yenu mawazo yenu . Nilisoma Nusery na Kisha nikaenda primary ila sikupata certificate ya darasa la Saba...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nisaidieni naanzaje kuomba vyuo. Naona TCU hakuna link kama zamani na dogo hajafanya application! Au tunaomba kutokea vyuoni? Vyuo unavipataje
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Habar zenu Ningeomba ushaur hapo wakuu kuwa n vyema kuanza kaz baada ya diploma ya clinical medicine alaf ndio ujiendeleze au kujiendeleza immediately after diploma of clinical medicine
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna kitabu kimoja hivi kilitikisa sana miaka ya nyuma kinaelezea Uchawi wa Mchungaji Stephano, Wakuu hivi hii story ni ya kweli? Na huyo mchungaji alishawahi kuwepo?
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Nipo Chuo kikuu cha Dar es Salaam karibu sana🙏
1 Reactions
3 Replies
951 Views
Habari mimi nimemaliza clinical medicine nina GPA 4.3 na olevel nina chem C bios B phy D English C geo C maths F naweza kusoma M.D.
1 Reactions
41 Replies
9K Views
Wakuu kwema, samahani kwa mwenye kujua fee structure ya Master ya physics chuo kikuu Cha dar es salaam naomba anijuze. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini humu, Ni mwanachuo MD mwaka wa 2, nipo najiandaa na UE zikiwa zimebaki wiki kadhaa pekee. Nina diploma ya Clinical Medicine na nilijaribu kuomba hizi ajira za Serikali na nimepata ajira...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Jaman mwenzenu nasoma Chuo Kikuu cha Iringa semister iliyopita nilipata carry ya SoMo la fonetic kutokana na matatizo ya ada yaliyonifanya kuingia mtaan kusaka ada. Swali je ikitokea Hilo SoMo...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Ama kweli mwema ni mwema hata akionekana mbaya. Siku 100 za mama samia zilikua siku za kupanga ukandamizaji dhidi ya watu wenye stashahada wenye lengo la kuchukua shahada. Nikiwa kama muhanga wa...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Sasa jamii yetu imeamka, sasa jamii yetu ni jamii ya watu wenye kiu ya maarifa, wakuu napenda kujuzwa software ambayo itaniwesha kuuza vitabu na machapisho mbali mbali ili niwafikie hadhira ya...
0 Reactions
5 Replies
964 Views
Naomba ushauru kwenye hilo jambo based na uzoefu wenu Nina daraja la 3.24 flat c za HGL au HKL
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wataalam, Hivi inawezekana mwanafunzi wa diploma kuhitimu diploma mwaka huu nakujiunga na degree mwaka huuhuu.
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu, Hivi zipi process za kuomba mkopo kwa Diploma ambao awana transcript yan maanisha ambao atújamalza semister ya mwisho. Msaada wakuu
1 Reactions
3 Replies
2K Views
NI KUHUSU WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI KUKARIRI DARASA Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Nikiangalia agizo la waziri wa elimu Prof. Ndalichako nabaini lina athari kwa wanafunzi ambao uwezo wao...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom