Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba msaada wa kueleweshwa kuhusu course ya Molecular biology and biotechnology, kazi gani utafanya baada ya kusoma? Uwezekano wa kujiajiri na unajiajiri vipi? Uwezekano wa kuajiriwa ukoje
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwanafunzi niulize swali lolote la historia au Kiswahili, au ukipenda tumia namba zangu 0758018597
0 Reactions
56 Replies
12K Views
Habari za asubuhi ndugu wataalamu. Nilisajili account ktk selform.tamisemi.go.tz ili niweze kubadili tahasusi, bahati mbaya nikashau password niliyoiweka kipindi najisajili. Msaada wenu...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari Jf,nifanye nini ili niweze pata hizi namba za siri za account niliyo ombea chuo kila niki jaribu ku renew kwa kupitia email na ambiwa email is alredy taken au ni system za udom ni mbovu
0 Reactions
14 Replies
4K Views
solve by elimination 12/X + 15/Y =7 20/Y + 3/X = 3
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Wasaalam, Kwa kipindi ya miaka sita iliyopita hadi sasa kumekua na mdororo mkubwa kwenye uhai wa shule kubwa na kongwe za Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Hali hii imepelekea...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi karibuni Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza maombi ya mafunzo ya ualimu ambayo deadline ya kuomba ni kesho kutwa.Naona ukiingia utakuta kuna options ama njia mbalimbali za...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Nilikuwa namfundisha mtoto wa sister mara nikafika kwenye jedwali hilo hapo chini, Sasa kila nikitafuta majibu naona chenga,dah sijui ni mimi kilaza au kitabu ndio kina shida? Kama kitabu ndio...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Tufanye nini ili kuhakikisha haswa vijana na watoto wapende kusoma vitabu mbalimbali ili kupanua uwezo wao wa kufikiri
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba kuuliza, Nataka kufanya kazi za Kuuza duka la dawa, elimu yangu ni form 4. Vipi hapo naanzia wapi au kikasomee kozi gani na ni kwa muda gani? Wadau msaada.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanajamvi habari za leo, Poleni kwa majukumu na mihangaiko ya kulipambania taifa letu pendwa la Tanzania. Mnaomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuandaa huu uzi kuhusu elimu katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za leo wanajukwaa, Naomba msaada kwa wale mliosoma au mnasoma Bachelor ya Accountancy chuo cha CBE. Naombeni kufahamu, kwa mtu ambae amesoma HGE miaka ya 2007, akiwa na matokeo ya HISTORY...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kozi gani nzuri kwa ngazi ya cheti?nilimaliza form six nikapata div 4 point 19 ya HKL.FORM 4 NILISOMA ARTS PURE NA KUPATA C-5 NA D-3.nimepiga vibarua nimepata hela ya ada hivyo nahitaji kujua kozi...
0 Reactions
34 Replies
30K Views
Naomba kujifunza uandishi wa proposa ya project kwa kiswahili.
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Katika taratibu na sheria za kimataifa inaitwa Municipality.Ni jengo moja tu lililoko juu ya nguzo baharini karibu na Uingereza.Ina mengi ya kushangaza lakini raia wake wengi wanaishi nje ya eneo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni kijana Wa umri wa miaka 22 nimemaliza kidato cha nne ila kukaa nyumbani nikaona noma ndio likaniijia wazo la kutafuta ujuzi mi nikaona nijifunze ufundi umeme wa magari nipo Dar Kwa mwenye...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari, Naombeni kufaham kutokana na uzoefu wenu, Kwa tulioomba vyuo vya afya 2021/2022 kupitia website ya NACTE majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomben msaada kwa mwenye contact za mkuu wa shule au mwalimu yeyote aliepo karema sec iliyopo mpanda katavi nimeshindwa kupata joining instruction ya 2020/2021
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari? Naomba mwenye notes za History, Kiswahili na English za A Level tuonane. Nitaomba aniuzie. Nitamlipa vizuri. Njoo PM. Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom