Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau, Kuna mdogo wangu amesomea kada ya biashara katika elimu yake ya upili (O-Level) na kwa sasa anafanya shahada ya Ugavi (Degree of Procurement and Supply) kwenye chuo kimoja maaraufu hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hayo yamesemwa na mkuu wa nchi Rais John Pombe Magufuli mbele ya wahitimu huko UDOM. Pia kadiri ya TCU ndio chuo kikuu kinachapota waombaji wengi baada ya UDSM nchini ingawa ni kidogo kieneo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naombeni ushauri please mimi ni nilimaliza elimu yangu ya Form Four nikiwa namatokeo mabaya. Sasa nataman kurisit (kurudia masomo) masomo ya biashara nilisit masomo mangapi?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawapongeza graduate wote waliohitimu masomo yao, either yawe ya ngazi ya degree au masters.. hongereni kwa kukwepa sup na special exams.. hakika nyani mzee amekwepa mishale mingi. Sisi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama nimeitaja shule yako jitokeze na uitaje umpate school mate mwenzio muunde undugu.. Nimepanga randomly bila kufuata utaratibu wowote.. 1.Mzumbe 2.Milambo 3.Kantalamba 4.Minaki 5.Iyunga...
45 Reactions
1K Replies
149K Views
Waziri wa elimu sayansi na teknolojia kwa heshima na taaadhima tunakuomba ufuatilie utendaji kazi wa waalimu hawa Mwalimu Gunda na Mwalimu kabole waliopo chuo cha ualimu korogwe kwani...
1 Reactions
61 Replies
9K Views
mimi evelyne mosha namba yangu ni s0224/0030/1994 naomba mniangalizie maana kampala university bado hawajatoa majina
0 Reactions
859 Replies
59K Views
Natumai ni mabuheri wa afya! Nikiwa O level nilitokea kupenda sanaa somo la literature haswaa ya west africa hususani Mzee Chinua Achebe na kazi zake za Things Fall Apart, No Longer at Easy...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika kipindi hiki cha ugonjwa wa corona lilitolewa agizo na serikali kua shule zote pamoja na vyuo vifungwe ili kupunguza misongamano, lakini cha kushangaza kwa baadhi ya mikoa Kama Tanga kuna...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naliona anguko la shule za English Medium Tanzania. Naona wazazi wengi wakiwatoa watoto wao kwenye shule za English Medium na kuwapeleka kwenye shule za kayumba. Sababu? Sababu ni zile zile...
14 Reactions
95 Replies
11K Views
Na Nina GPA ya 3.6 nataka diploma yoyote mnanishaur nisome ipi ambayo ina maslahii Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tuchukulie ni mwaka1980' mda ambao simu za mkononi hamna lakini zipo za mezani. Wewe hauna lakini vibandani wanatoa uduma ya simu kwa malipo. Kaka yako anafanya kazi katika shilika moja uko...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba kwenye ufahamu na namna ya kupata vyuo nje na Tanzania hasa Uganda nataka nikachukue Bach. Of Environmental Management au Applied geology Kama kuna Mtu anahusika. Na hizo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Elimu ni kitu muhimu sana maishani.Ndo maana hata Mwenyezi Mungu alijua kabisa mwanadamu hatoweza kuishi na amani humu dunian ndo maana akatuhasa kumkamata sana elimu tusimwache aende zake.Lakin...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Nataka na kutamani sana hii iwe kama sheria kuu ya nchi yetu na watu wajifunze tangu shule za awali mpaka vyuo vikuu. Pia izungumzwe ngazi ya familia mpaka taifa. Ili pasije pakatokea shida au...
1 Reactions
2 Replies
835 Views
Wakuu kat ya Msc in mathematical Modelling na M.A in statistics ip ni bora zaid. Na ip rahc kujiajr au kupata ajra kirahisi.
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Wadau wa Elimu, kwanza naomba ku declare interest kuwa mimi nilisomea ualimu ngazi ya stashahada. Wakati nasoma shuleni, hasa somo la Historia nilifundishwa na kuaminishwa kwamba elimu ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Walimu wa primary school habarini, poleni Na korona. Leo napenda tuchangie hii mada kidogo.Hivi kwa sasa tunaelekea wp Na mtaala wetu? Kama mjuavyo tuna mtaala wa zamani unaoishia Drs la 7 ambao...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Habari, Naomba kama kuna mtu/ watu wenye experience ya kusoma chuo hiki Huria (UNISA). Please share your experiences nahitaji ili nifanye maamuzi. Natanguliza shukrani zangu. Sent using Jamii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wana JF kuna swali hapa linanisumbua naomba msaada it states "When the president joins the Parliament it's called the................."
1 Reactions
4 Replies
746 Views
Back
Top Bottom