Elimusoft Free online examination system inakuletea huduma ya kufanya mitihani na kusahishwa mtandaoni.
Hawa watoto wetu kama notes wanazo kama mitihani a zamani wanayo, kama ni vitabu pia...
Kama kichwa tajwa hapo juu.
Mzee baba MAGU mtaani sio kuzuri kabisa aiseee saidia vijana wako tupate angalau pa kukusifia kwa wazee wetu miaka kenda sasa tunatapatapa mtaani bachelor zetu hazina...
Naomba kufahamu hatua za kufuata unapotaka kuendelea na chuo baada ya kupostpone bila ya kufuata utaratibu ie. Kuandika barua katika chuo ulichochaguliwa hapo mwanzo.
Ni sifa ya kila kiumbe kutaka mtoto aendelee kuwepo haswa inaotokea chagua la mtu anayepaswa kubaki. Hii ndio sababu naona haja ya kuwalinda watoto kwa kuwa wao ni vizazi vijavyo. Watoto wana...
Mambo vipi ndugu zangu tuliosoma MOTCO?
Kama wewe umesoma Morogoro Teachers College ni lazima mazingira haya utakua unayakumbuka sana.
kwanza kuna njia inaitwa MZAMBARAUNI najua kipindi cha...
Wakuu heshima kwenu!
Leo Nina kikao Cha dharula na ofisi ya wizara ya Elimu. Hivyo waziri na watumishi wote fungeni ofisi mje hapa.
Wakati nawasubiri mfanye maandalizi ninasalamu kwa Chadema na...
Naomba ufafanuzi na muongozo wa wadau wenye uelewa na hizi programmes hasa kwa mazingira ya nchi yetu huko nyumbani kuna ndugu yangu anahitaji kwenda chuo mwaka huu, kwa minajiri ya kujiajiri...
Kama kunavyojieleza hapo juu,naomba formati mpya ya necta form four na topics zake hasa kwa Maths, Physics, Geography, Chemistry na Biology
Sent using Jamii Forums mobile app
Shikamonii wakubwa zangu..
Kwanza natanguliza shukrani kwenu, mimi mdoigo wenu katika kupitia pitia maswal ya physics nimekutana na hili swali phyz nahitaj msaada wenu.
Qn a parallel plate...
Habari zenu,
Naomba kuuliza je napataje matokeo ya darasa la saba na la nne ya miaka iliyopita kuanzia 2009 kushuka chini. Maana kila nikijalibu kutafuta siyapati.
Natanguliza shukuran; na pole kwa usumbufu wa gonjwa la corona;
Mimi nimehitimu Diploma in secondary education (Chemistry &biology) (2018) na nilipata GPA 3.5; ila kwa sasa sija ajiriwa ila...
Kutoka kwa Mr Joel Nanauka.
MOSI: Kila siku fanya kitu kuhusiana na ndoto yako hata Kama ni kidogo.
PILI: Pata mtu wa kuongea nae kila wakati kuhusiana na ndoto yako, Mtu atakae kuwa anakuulizia...
Nisisikie kelele, maana previous mlisema hilo kawape form 2, mara nyanya hili, twende Sawa!!
I you want 2 miles, I'll go with you 5 miles.
1. George is blowing across the top of a 350 cm glass...
Habari wana JF.
Natumaini nyinyi nyote mnaendelea vyema wakati huu wa janga la COVID-19. Kwa kujitambulisha kwanza, mimi ni kijana Mtanzania na kwasasa ninasomea Shahada ya Uhandisi wa Umeme na...
Wacheni kuangalia series A-level Physics takers, brush your brain here from your quarantines.
(a) State the quantity that is not conserved in an inelastic collision.
(b) Calculate the impulse...
Samahani nahitaji kuuliza kuna course inaitwa uunganishaji vyuma (steel fixation) kama kuna anayejua ni chuo gani nlkinatoa course hiyo hasa kwa vyuo vya veta na namna ya kufanya application...
Habarini wana JF wenzangu...
Mimi ni mwalimu wa "Mathematics" ambae katika degree yangu ya kwanza nilispecialize katika Maths lakini pia nilikua na courses zingine kama Educational Psychology...
Wanafunzi wa Form Six bila shaka wapo kwenye maandalizi ya mitihani yao ya kumaliza na baada ya hapo kujiunga na vyuo mbalimbali.
Kuna bwana mdogo amejitolea kufundisha bure kabisa kwa njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.