Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Dr.Slaa,Freeman ..na wapiganaji wote !! Kwa wale waliopata nafasi za kuingia bungeni kama washindani wa CCM MJue kwamba nyie ndio mtaleta mabadiliko kwa mika mitano ijayo ! CCM ni Banzoka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Viongozi wa Chadema, Wananchi tunashangaa kwa nini NEC imeanza kutangaza matokeo ya urais kutoka kwenye majimbo ambayo chadema haiungwi mkono sana. Binafsi ninakubaliana na wazo la mwana JF...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
baada ya matokeo ya kulibakiza jimbo la karatu wafuasi wa chadema walijitokeza kila kona kushangilia ushindi huo lakini cha ajabu walikuwa na bendera na wengine wamevaa mavazi ya ccm zikiwemo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Anaandaa sababu za kushindwa, probably atasema nimeibiwa, an usual song for wapinzani.
0 Reactions
63 Replies
7K Views
hii haijakaa njema ccm inatangazaa kukubali matokeo waliposhinda wao kiulaini lakini hali inapokuwa ngumu wao ndo wa kwanza kkuweka ngumu,,,,,,,,,,,,hii haijatulia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
baada ya kubana kwa muda mrefu, wametangaza ccm 14,000 na chadema 10,200. mabomu kwa kwenda mbele, vijana wanadai haki yao!
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau mnaona wizi wanaotaka kufanya hawa Mafisadi? Yule kibabu wa NEC bw. MAKAME kasema kuwa eti matokeo yote yatakamilika baada ya Siku mbili zijazo. Kwanza waliahidi ndani ya siku tatu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kuanguka kwa waziri masha aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani na mbunge jimbo la nyamagana na waziri wa siku nyingi mhe anthony diallo na mbunge wa jimbo la ilemela licha ya mikakati mizito...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa yeyote mwenye maelezo au data kuhusu karagwe kwa ubunge please let us know.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kweli wanastahili pongezi kwa kuwasimamia vizuri wadai haki wa chadema walipokuwa wamekusanyika mbele ya jengo kuu la manispaa ya arusha kusubiri matokeo rasmi ya ubunge kutangazwa baada ya mama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mengi ambayo NEC ya CCM iliyafanya na ambayo yamechangia kuufanya uchaguzi huu usio wa huru na wa haki.........kwa kuanzia ilifanya haya yafuatayo:- a) Ilikubaliana na vyama vya siasa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amerudi kwa asilimia 75 akija na jina jipya "Chuma cha Pua"..
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndio hivyo sio kawaida yake huyu mtu kukaa kimya sasa sijui this time ni kitu gani kilichomsibu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni suala linalozidi kuwa wazi kuwa NEC inatangaza matokeo kule ambako CCM imeongoza. Kule wapinzani wanapoongoza hasa hasa CHADEMA hawatangazi! Na kuzuwia kusoma matokeo kwa majimbo kama Ubungo na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Akionesha kana kwamba anaheshimu Tume ya Uchaguzi lakini si kweli, Kinana ameamua kutangaza final tally ya kura za UBunge na kuonesha kuwa kwenye tathmini yao wao walikuwa wanatarajia wapinzani...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
  • Closed
Je, ni kweli Chenge kabanwa koo na hataki kusign matokeo ya ubunge? Ameshindwa na mgombea wa chama gani? Wenye taarifa za uhakika p'se........!!!
0 Reactions
16 Replies
3K Views
IRINGA MJINI IMEPOROMOKEA CHADEMA! Taarifa hizi ni za kuthibitisha. Mch. Peter Msigwa ( CHADEMA) ameibuka mshindi akimwacha nyuma Mama Monica Mbega (CCM)...
0 Reactions
98 Replies
12K Views
KINANA msemaji wa chama cha mapinduzi akubali chama chake chapoteza majimbo 29 bara, 22 zanzibar!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
i think mnjika is one of those who were directly targeted for closure of university but it didnt work. thanks god
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Back
Top Bottom