Basil Pesambili Mramba kaangukia pua kwa Selasin kwa tofauti ya kura 2000! Dr. Nagu naye kapigwa bomu la machozi na Kamili Hanang! Mathayo wa Same naye chali. CHADEMA! CHADEMA!
CCM imeiba uchaguzi Zanzibar. Kwa nini Seif anakubali matokeo wakati kihesabu CUF ndiyo walioshinda? Angalia kura za watu waliojindikisha kupiga kura na waliopiga kura utaona kuna wizi uliotokea...
Hii nimeipata from a man close to SUGU kuwa Ataachia album kwa ajili ya kuwashukuru Wananchi wa Mbeya kwa Kumchagua kuwa MBUNGE wao.......Kama kawaida ya mtu wa HipHop lazima kutakuwa na mawe ya...
Source ITV:
Naomba MAKAMBA aje atueleze zile kauli kuwa Dr. Slaa alikimbilia kugombea urais ili kukwepa aibu ya kushindwa na CCM huko KARATU. People's POWER.
KARATU NI CHADEMA!!!!!!
Namshauri Dr.Slaa kufuatilia kwa makini matokeo ya uchaguzi kupitia kwa mawakala wake na kulinganisha na matokeo ya tume na baadaye ayatolee ufafanuzi.Pia namshauri aendelee kukaa kimya na...
Kwa hakika Mpesya umepata fundisho kubwa sana, kitendo cha kuwafanya wapiga kura wa jimbo la mbeya wajinga umefika kikomo, ulisema Sugu ni muhuni mtoto wa mama lakini tambua kuwa wana Mbeya...
CHanel ten walikuwa wanatuletea matokeom ya moja kwa moja toka pande zote za Tanzania, lakini naona ghafla wameacha na kuanza kutuonesha mambo ya ujenzi wa barabara kulikoni? au chichiem...
nafkiri atakubaliana nami jinsi matokeo yalivyokuwa wazi. sio sasa hivi.....yale ndio yalikuwa matokeo bwana. SLAA tuko pamoja brother. mungu anasikia kilio cha wengi.
Sote tunajua kuwa given the fact that miji yote mikubwa imechukuliwa na opposition there are a few assumptions to make:
1.If the rulling pary is gonna be CCM then dont expect maendeleo in your...
nimefurahishwa sana na uamuzi wa wananchi katika majimbo mbalimbali kwa kusema hapana kwa mafisadi.ccm ijifunze kwa miaka mitano inayokuja tofauti watakiona cha moto 2015.
Mgombea wa CCM Mheshimiwa Saning'o Telele kamshinda mgombea wa Chadema Bw. Parkipuny..........in a close race.........takwimu zitawekwa baadaye......wametangaza sasa hivi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.