Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
ndio wadau naomba fahamishwa matokeo ya URAISI mpaka sasa nihaho tu:israel::israel:
0 Reactions
2 Replies
1K Views
pengine iwekwe hadharani kuwa tume ya uchaguzi ni moja ya taasisi zilizowekwa kwa ajili ya kuibeba ccm. Hii imewekwa wazi na mmoja wa wapiganaji wetu ambae amesema wazi daima ccm imejiwekea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
tunaomba wana jamvi mlioko Karagwe mtupe raha kwa kuleta taarifa za ushindi. Please
0 Reactions
6 Replies
2K Views
naomba nitofautiane na wengi wetu hapa JF. mtu anapoleta habari si lazima awe na data. hata tetesi, uvumi, umbea nk zote ni habari ili mradi zisiwe za uongo. hata ukichunguza habari nyingi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Paste Update please:-Hadi sasa ....! Chadema viti vya Ubunge ----------- ?? CCM viti vya Ubunge ----------- ?? CUF viti vya Ubunge ----------- ?? Viti vya ubunge Tz...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Waangalizi wa Commonwealth wamefyatua taarifa yao ya awali ya kutathmini chaguzi yetu bila ya kujua ya kuwa haina tambuzi kuwa hatuna Tume huru ya uchaguzi ila tuna Tume ya Uchaguzi ya chama cha...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Jamani mbona kwenye matokeo haya sisikii matokeo ya J4 Malecela? au kapita bila kupingwa?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu hebu tulist majimbo amabayo yalikuwa na utata mkubwa wa kujaribu au kufanikiwa kuchakachua kura za Wadanganyika.... Mie naanza na 1. Shinyanga 2. Kigoma Mjini 3.....
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mhe Slaa, Umejitahidi sana kuongeza changamoto katika medani za kisiasa Tanzania. Umeipandisha chati Chadema na huenda wewe kama mgombea wake ukapata 20% ambayo itakuwa ni historia kwa chama na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Huu ndio ukweli. Juu ya mwamba huu (ushindi wa upinzani majimboni) tuko katika maandalizi ya dhati ya kujenga taifa la kudumu. Jk analenga urais tu kwa sasa ila udiwani na ubunge kavisusia kwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Haya ni matokeo ya Kikwete kuleta urafiki na nani alinisaidia wapi. Nawasihi viongozi wa CCM achaneni na huyu jamaa ameshaua chama jipangeni, na sasa kuna vilaza wake ambao wanalia apate iti ili...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Taarifa za jikoni zilizonifikia Masha akabidhi mizigo ya ukurugenzi wa Emma Advocates kwa binti Karume!! Ajiandaa kutimkia USA alikokulia!!! Hahaa aibu yake hiiiiii!
0 Reactions
32 Replies
5K Views
CCM kwisha kazi. CCM wako mahututi ICU.CCM wanapumulia Oksijeni. CCM jeuiri kwisha!!! Ziko wapi tambo na majigambo ya CCM waliyokuwa wakibwabwaja kwenye majukwaa kuwa watashinda kwa kishindo...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
jamani embu someni barua zilizosambazwa na halmashauri kufuatia kikao cha kikwete na rostam ziz na makada wengine wa ccm kuhusiana na kuchakachuwa matokeo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mbona sijaona mahala CUF imeshinda ubunge bara kama wenzao akina CHADEMA hata nccr mageuzi.Au nimepitiwa tu. Nilisikia Mbeya,Mtwara halafu Tanga na bUKOBA,lakini sijaona !.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamaani naombeni wenye data kamili mnijuze kuhusu hali ya mgombea wa jimbo la Same Mashariki Anna Kilango Malecela kama kashinda au la?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Commonwealth Secretariat - Observers issue interim statement on Tanzania polls
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wanajamii mbona hamtoi data?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kipindi hiki cha uchaguzi, nimeona mabadiliko katika utendaji wa jeshi la polisi kitu ambacho kimenifanya niandike hii post kulipongeza. Kutokana na vurugu ambazo zimekwishatokea, ni wazi raia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sumbawanga mjini, nkasi kaskazini na nkasi kusini kote ccm imepita kwa tofauti ya kura 1000. Hakuna marefu yasiyokua na ncha, CCM MUST DIE!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom