Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kwanza kabisa niwape pole ndugu zetu wote walioathirika na ubinafsi na ubabe wa chama tawala kupitia wakala wake NEC na jeshi. Nasema hivyo kwani imedhihirika kuwa tume ya taifa ya uchaguzi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
zipo taarifa zinzoonyesha kuwa mgombea ubunge jimbo la kibaha mjini alishinda kwa kupata kura nyingi, lakini matokeo hayao yakabatilishwa kutokana na agizo la jk kuwa hataki hata jimbo moja la...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Bernard Membe, aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi na anayegombea tena ubunge katika jimbo hilo sasa kapata mpinzani kutoka TLP. Awali Msimamizi wa uchaguzi alikubali pingamizi la...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Wakuu, Naona wote tumeondoa kabisa macho na masikio kwa William Ngeleja kule Sengerema, na hii inampa nafasi ya kuchakachua anavyotaka. Yeyote mwenye news za huko please. Maana za kutoka huko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nccr mageuzi hatimaye watanganzwa washindi na nec wilayani kibondo saa 10 alfajiri hili ni jimbo la muhambwe.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
  • Closed
Matokeo yaliyotolewa mpaka leo usiku na NEC ni kuwa Kikwete aongoza Urais, Lipumba wa CUF wa pili na Slaa wa tatu! Imegundulika kuwa kuna MWAFAKA WA SIRI WA TANZANIA BARA kati ya CCM na CUF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BABATI wameanza kuhesabu kura upya baada ya CCM kuendesha uchakachuaji...NCCR wamegoma kwani ni ngome yao! Source ITV Habari zaidi... Mawakala wa NCCR Mageuzi wanadai mgombea wao alishinda kwani...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Peter Peter Mziray: Kura 4275 = 1.45 %; Jakaya Kikwete: 186 1877 = 64.2 %; Dr. Slaa: 578 636 = 19.95 % Prof. Lipumba: 238 259 = 8.22 % Mutamwega: 5690 = 0.2 % Fahmi: 3435 = 0.12 %...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Majimbo mengi ambayo CCM imeishinda Chadema tofauti ya kura ni ndogo lakini tofauti ya uwakilishi bungeni itakuwa kubwa kwa sababu viti maalumu vinagawiwa kwa kuzingatia idadi ya wabunge Bungeni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania nzima wananchi wanapigwa na polisi, mabomu, virungu, risasi etc. Haya yote ili kulazimisha wewe na familia yako muendelee kuitawala na kuifilisi nchi yetu. Swali dogo kwako, Utaua...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Vicent Nyerere ni mbunge mteule kwa jimbo lake ambalo sijalinasa jina ila ni hukooo kwa akina mura...kwa asilimia 59. Source, taarifa ya habari Radio One.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunawaomba wanaohusika kujumlisha kura kwenye majimbo watuambie kama haya matokeo yanayotolewa na Tume yanareflect ukweli-Jamani hata Hai na Iringa mjini ccm wanaongoza!!Mi nahisi kuna mchezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taarifa toka Ulanga Magharibi zinasema Mponda amepata 18,0000 na Prof Mlambiti amepata 15,000. Kwa wale vijana sana Urafiki Jazz Band ilikuwa inatumia mtindo wa Chakachua Ngoma!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa ITV 19000+ CHADEMA dhidi ya 11000+ za CCM
0 Reactions
24 Replies
4K Views
LICHA YA KUTANGAZA MATOKEO YA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO NA MNYIKA KUSHINDA LAKINI WAZIRI MKUU MSTAAFU SUMAYE YUPO HAPA ANATANGATANGA HUKU NA KULE. SWALI:- KAFATA NINI HAPA? WANATAKA KUCHAKACHUA KULA...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mashariki ccm 16200 chadema 9984 appt maendeleo 125 magharibi ccm 12659 chadema 3969
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hongera dada Halima kwa kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Kawe. Kwa jinsi nilivyokufahamu kwa muda mfupi ninahakika wananchi wa kawe hatajutia uamuzi wao. Nakutakia kila la kheri na pia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, Kwa hali hii, natamani vikao vya Bunge vianze kesho!!!! Hili ndilo Bunge la mseto wa ukweli. … mweee.. Vijana, Wakulima, Wachungaji, Wanawake, Wafanyibiashara, Wazee, Wanaume...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kijana Livingstone Lusinde (Kibajaji) aliyemuangusha John Samwel Nigwiyemisi Malecela kwenye kura za maoni za CCM ameshinda Ubunge wa Mtera. Livingstone Lusinde - CCM - 23,612 Lameck Lubote -...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom