Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Taarifa zilizotolewa jana na mkurugenzi wa Nec kuwa vituo vya kupigia kura viko 51732 nchi nzima. Changamoto kwa chadema ni kuwa;Ni vema ikafanya utaratibu wa kuwalipa mawakala wake japo kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
habari wana jamii forums hivi uchaguzi huu utakuwa huru na wa haki?
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Mtaalamu wa Sera CCM - Wilson Mukama anadai Sera Zinatekelezeka ( sio Zakufikirika /Utopia) CCM inawawezesha Watanzania kwa Maarifa (Wakati jukwaani wanasema Elimu bure ni ndoto) CCM inajua wingi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi ni kweli CCM wamevunja katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa kuwazuia wagombea wao kushiriki kwenye midahalo ya TV? ThisDay wamefafanua hili Home*»*Insight Kama hiki chama, CCM...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1 kati ya kila shilingi 5 Tanzania imewekezwa katika elimu huku Tanzania ikiwa na mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu. Chama Cha Mapinduzi kilishinda kwa zaidi ya asilimia 70 katika chaguzi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Pamoja na kumtaja Kibunango, huu ushauri wangu ni kwa wazalendo wote wa Tanzania wanaolipenda na kulitakia mema taifa letu. Fikiria baadaye baada ya miaka mingi utakapokuwa umekaa na mjukuu...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau hivi mmeshagundua kuwa bidhaa mbalimbali zimeanza kukosekana sokoni? Kuna biashara nyingi pia za wageni zimefungwa kwa muda na zile ambazo hazijafungwa zinafanya kazi chini ya kiwango chake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Do you approve or disapprove of President Jakaya Kikwete's overall job performance (2005-2010)? Approve (5%, 4 votes) Disapprove (94%, 83 votes) Undecided (1%, 1 votes) Total Votes: 88...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
DAR ES SALAAM — The European Union will send a 68-member observer team to Tanzania for the country's general election on October 31, it said Thursday, but Dar es Salaam warned against meddling in...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Amri 10 za kuikomboa tanzania 1. Usikumbatie waovu kama Kikwete 2. Usiwe mwizi kama Lowasa 3. Usiwe mwongo kama Makamba 4. Usiwe mnafiki kama Rostam 5. Usidharau pesa kama Chenge 6. Usikose...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona wasichotaka kukiona! Na Godfrey Dilunga wa Gazeti Raiamwema 06/Oktoba/2010 NIMEHUDHURIA mikutano ya kampeni za awamu ya pili za mgombea urais wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa. Kwa nguvu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyerere siku zote aliufananisha utumishi wa Umma na mke wa kaisari ambaye aliachika kwa sababu alituhumiwa tu. Kaisari wala hakupoteza sekunde kuchunguza tuhuma dhidi ya mkewe bali alimpa talaka...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu watanzania wazalendo na wapenda maendeleo ya nchi yetu, wote tunatambua kazi nzuri aliyo ifanya Rais wetu kipenzi JK ndani ya miaka mitano yake ya uongozi. Ni ukweli usiopingika hasa kwa...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Qualities of Great Leaders One question asked endlessly in business, academic, political, and other circles is, “What’s the difference between a manager and a leader?” The most often quoted answer...
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Is CCM's strategy towards the elections flawed? I want to believe so, given the recent happenings of its aspiring members to dodge debates, endorse candidates with pending court cases, seemingly...
0 Reactions
4 Replies
961 Views
Hivi sasa tunaishi katika kipindi ambacho wataalamu na wanahistoria ya maendeleo ya kitekinolojia katika ulimwengu wanakiita 'information age', yaani kipindi cha 'habari na mawasiliano'. Kwa...
0 Reactions
69 Replies
6K Views
Serikali ya Kikwete inaonyesha kila dalili za kuibaka demokrasia kwa kutumia nguvu ya dola. Ninayaona haya kutokana na matukio ya hivi karibuni. Tamko la jeshi la wananchi (JWTZ) - hii ilikuwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba kutoa hoja kwa vyama vya upinzani. Kuna majimbo mengi ambayo upinzania haukuweza kuweka mgombea, kuanzia ngazi ya udiwani, na ubunge. Hasa kwenye majimbo ambayo wamesema wamepita...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom