Wadau mpaka sasa sioni mfumo wala harakati za nguvu za Wenje kujihakikishia ushindi hapa Nyamagana. Naanza kupata wasi wasi kama atashinda ingawa Masha hapa Nyamagana hatakiwi kabisa.
nataka kuandika email white house kuhusu concern yangu jinsi utawala wa Obama unavyofumbia macho injustice zinazoendelea Tanzania na kuishia kusifia serikali ya Kikwete kuhusu utawala bora, je...
Mkuu tunaomba tujadili hii mada ambayo imesambazwa UK ,hasa juu ya viongozi wa CCM tawi UK,Txt msg imetumwa jana
"Siamini mama kumuacha mwanae wa miezi sita ,kijana wa miaka tano,na binti wa...
Naandika post hii bila chembe ya ushabiki wa chama chochote cha siasa (ingawa mimi ni mshabiki wa CHADEMA). Lengo langu kubwa ni kutoa maoni yangu juu ya chama hiki kikubwa; CCM, ambacho kwa namna...
UNDP wametoa msaada wa kuwakilisha matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kwa internet; ndio maana MwanaHalisi 5/10/2010 wamebaini mbinu ya CCM ya kupeleka wataalamu wa IT NEC. Naomba kujua ni...
Kama tunavyojua ni ukweli usiopingika kuwa CCM itatumia mbinu nyingi kutaka kuiba kura ili ionekane imeshinda. Nakumbuka mwaka 1995 wakati Balozi paul ndobo akigombea jimbo la musoma kupitia...
By LEVINA KATO, 6th October 2010 @ 22:00, THE government has praised armed forces for warning politicians and other elements engaged in acts that are likely to disrupt peace in the run up to the...
Kuna baadhi ya wanajeshi ni wapuuzi. Hawana uzalendo na hawana huruma na umasikini wa Watanzania walio wengi.
Kuna baadhi ya wanajeshi (nina amini ni wengi) ni wazalendo na wanaona uchungu sana...
Miaka 50 imepita baada ya uhuru. Hakuna maendeleo yoyote yaliopatikana. Tanzania inaendelea kuwa maskini wa kutupwa hadi kufikia kuwa nchi ya tatu toka mkiani kwa umaskini na ufukara.
Wengine...
Source: Can Tanzania's Elections benefit the poor?
The average Tanzanian is going to the polls this month not knowing the outcome ahead of time.
Statistically, about 90% of the population...
Ukiniuliza kwa nini ninaweka hii posting sitakuwa na jibu! Ila imenifurahisha kwamba JK anadai CCM ina wanachama 5m. Akamtaka kila mwanachama akamate watu watatu ambao sio wanachama. Halafu...
Leo nipo jimbo la Siha na hali siyo nzuri hata kidogo kwa mgombea wa CCM ambaye ni naibu Waziri serikali za mitaa: Mheshimiwa Aggrey Mwanri hivi sasa anapumulia kwa mashine na yaelekea ataanguka...
Mwananchi
Thursday, 07 October 2010 08:08
Sheilla Sezzy, Mwanza
MGOMBEA urais kwa tiketi ya APPT-Maendeleo, Peter Kuga Mziray ametumia muda wake wa kampeni kumnadi mgombea urais wa Chama...
World watching polls - German envoy
By Edwin Agola
7th October 2010
Italian envoy praises process as more democratic this year
Germany Ambassador to Tanzania, Dr Guido Herz...
Naona mzee huyu Ufisadi hawezi kuacha.
Pitapita yangu ilinifikisha mjini Morogoro.
Kwa wenyeji nilipita njia ya Boma road kuelekea kwa mkuu wa mkoa. Kushoto ktk iliyokuwa bustani ya matunda...
Napata impression moja kuwa jina la Dr Wilbroad Slaa limefikia hatua ya juu sana ya mafanikio kisiasa hasa kuanzia kipindi cha miaka 10 kurudi nyuma. Ukishatoka kwenye kiwango hatua hiyo, unaenda...
Mahakama leo imewaachia huru watuhumiwa kwenye kesi ya kumvamia na kumshambulia Mhariri wa Mwanahalisi Saed Kubenea na Mshauri wake Ndimara Tegambwage.
Kwa mujibu wa taarifa ya habari ya TBC...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.