Wednesday, 19 May 2010
SERIKALI imetoa waraka unaovielekeza vyuo vikuu vyote nchini, kuchelewa kuanza muhula wa masomo kwa mwezi mmoja, ili kupisha uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Kwa...
Jamani jana lipumba alikuwa katika kampeni mjini Bukoba, na alihutubia mkutano katika uwanja wa mashujaa (maarufu kama uwanja wa mayunga au uhuru platform). Kwa kuwa sikuwepo sijapata vizuri nini...
Mwalimu Nyerere aliongelea uozo katika CCM. Kwa mfano, wakati alipokuwa anajiandaa kung'atuka uenyekiti wa CCM, alizunguka nchi nzima akikagua uhai wa CCM. Wakati wa ziara hiyo, inaonekana...
Wahenga wa Kizungu wana msemo wao; eti " A blck cat may be a bad luck ONLY if you are mouse!" Chambilecho waungwana, kama wewe si panya, ya nini kumwogopa paka mweusi?!
Nataka kuzungumzia...
kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA si...
Kama kuna mbunge kijana au mwanaharakati wa ukweli huwezi acha kumtaja john john mnyika, haya yamedhihirika kwenye mikutano yake ya kampeni kutokana na sera yake ya (AMUA) jinsi anavyo ishusha...
Chadema yawasilisha malalamiko
Mashirika ya kimataifa pia yaelezwa
Kauli iliyotolewa na vyombo vya usalama Ijumaa iliyopita na kusomwa hadharani na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la...
Tanzania attained 15 spot in 2001 before it slip well down to 21 in 2005. From 2006, the country experienced ups and down before attains its 15th spot in 2009.
However, the general observation...
Wana JF
Sambamba na matokeo ya kuchakachua kutoka REDET, habari zilizoingia kwenye dish langu muda mfupi uliopita, zinasema wastaafu wameombwa na kubembelezwa sana kuingia kwenye kampeini...
Sitaki Rais anayebeba wasiobebeka
Ndimara Tegambwage
Mwananchi
SITAKI Rais Jakaya Kikwete apinde hoja. Sitaki rais awe moto na wakati huo huo awe baridi. Hii ni kwa kuwa sitaki wale...
Hivi karibuni, vichwa vya habari katika vyombo vya habari vilitawaliwa na sakata la mmoja wa makada vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hussein Bashe kunyimwa fursa ya kuteuliwa kuwa mgombea...
Katika hali ya kushangaza wanajeshi wa JWTZ wapo kwenye mazoezi makali, mithili ya yale ya FFU, bila shaka kujiandaa kwa kupambana na watakaopinga matokeo ya uchaguzi mkuu baada ya kuchakachuliwa...
Wandugu habarini
Ninaomba kuuliza swali moja tu................ Ni kwa nini Tanzania iliamua kuwa na kawaida ya kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano???
To me kwa upeo wangu mdogo wa mambo...
..."Exploiterz are terrified of the revoln,exploiterz are frightened of change. People who are content are fearful of change,bcoz change will upset their security. Bt the oppressed must desire...
Dk Willbrod Slaa
Waandishi Wetu Dar na Rukwa
SHUGHULI nyingi za kiuchumi jana zilisimama kwa muda mjini Sumbawanga kufuatia ujio wa mgombea urais kupitia Chadema, Dk Willibrod Slaa huku...
Mziray wa APPT Maendeleo ampigia debe Dk Slaa Send to a friend Thursday, 07 October 2010 08:08 0diggsdigg
Sheilla Sezzy, Mwanza
MGOMBEA urais kwa tiketi ya APPT-Maendeleo, Peter Kuga Mziray...
Takribani dakika 30 zilizopita maeneo ya soko kuu Arusha polisi wamekuwa wakirusha risasi hewani na kukamata watu hovyo....ni kitendo cha kushtua sana kwa watu tuliokuwa tukipita na shughuli...
Wakubwa naomba kueleimishwa na aina ya siasa ya bongo! Hivi kwa mtaji huu kila mtu si atakuwa mwanasiasa kama kazi ni kutoa ahadi pasipo kuwatajia source ya hizo hela zitatoka wapi? Mimi ninaamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.