Siku ile akiwa mbele ya wazee wa Dar, JK huku akiwaita wafanyakazi Mbayuwayu alitamba sana akisema mimi ndiyo Mwajiri wa wafanyakazi wote hivyo atakayegoma nitamfukuza kazi. MPENDWA MFANYAKAZI...
nimeona picha mbili za wagombea wakiwa wamepiga magoti katika matukio tofauti ya kampeni kule jamii photos kwa kweli hiki ni kitendo kibaya yaani sitaki kuamini mgombea anabembeleza apewe kazi ya...
Imekuwa ni kawaida kabisa kwa thread kugongana na hivyo MODs kuunganisha thread hizo.
Siku ya Uchaguzi, huenda zikagongana nyingi zaidi na hivyo nyingine zikakoswa kusomwa. Ni kipindi hicho huenda...
Nawezekana vipi kuunda katiba mpya , kufuatilia migogoro ya ardhi ndani ya siku mia hayo ni machache 2 ila kuna mengine mengi tunaahidiwa kufanyika ndani ya siku mia (100) kweli yote...
Leo kulikuwa na mdahalo wa wagombea wa ubunge jimbo la segerea,wagombea waliobahatika kuhudhuria ni wa TLP,CUF na CHADEMA.
Waliousikiliza kupitia wapo radio ni mashahidi zangu MPENDAZOE yuko...
TUNAELEKEA WAPI?
Jana nilikutana na kada wa ccm, akanitambia kwamba, Tayari tumepokea (kuramba) shs 30,000 kila mwanachama wa ccm aliye hudhuria mkutano wa jk wa kumaliza makundi, Blue peal...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imepania kuweka rekodi baada ya kueleza kuwa itatangaza matokeo yote ya uchaguzi mkuu siku moja baada ya kupiga kura, uamuzi ambao unaweza kupunguza mianya ya...
Kumekuwa na tuhuma za mara kwa mara kwamba kwamba JF is of special interests, sometimes for some people, institutions, political parties etc. Watu kama Mengi, Zitto na hata JK wamewahi kutajwa...
Usiku wa kuamkia leo katika mtaa wa makao mapya mjini Arusha, bendera na vipeperushi vyote vya Chadema vilivyokuwa vikipepea vimeibwa na watu wasiojulikana...!!! Nimepita eneo hilo leo asubuhi...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imezibadilisha karatasi za kupigia kura.
Karatasi hizo sasa zitakuwa na nembo ya chama cha siasa cha mgombea.
NEC imeagiza kuwa, mchakato mzima wa uchaguzi...
Kama Mtanzania mwenye akili timamu, ninayetaka mabadiliko, mwenye utashi na hamu ya kuchagua viongozi kwa kufuata sera (badala ya ukada na ushabiki wa kijinga), ninapenda kulipongeza gazeti la...
kweli nimeamini HATAMU IKISHIKWA PUNDA SHARTI LAZIMA AENDE ,,,,WANANCHI wenzangu mnadanganyi kwa maneno ivi hamji kuwa hao mnaowapigania ni mafisadi zaidi jinsi mnavyofikiri ki ukweli CHADEMA...
Cheeecheeee cheee ...........unapata dezo dezoooo.....mali zao sitaki kuuacha....sera zao hazilipiii....we CCM weee umeumbukaaa.......
Jana nimekuta store moja imesheheni mzigo huuu huku Arusha...
gazeti la mwanahalisi la jana liliandika kuwa miraji kikwete amefungua ofisi ya CCM isiyo rasmi mtaa wa undali upanga no.175 ambako kuna wataalam wa IT aliyosoma nao Bangalore India walioandaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.