Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi huyu aliyekubali muandike kwamba toka JK aingie madarakani watu milion mbili zaidi wamekuwa masikini bila kuonyesha percentage ni nani??Alitoa oda makusudi au sababu hii itawagharimu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Bibi Hawa Ng'ambi, usiku huu alishindwa kujizuia na kupandisha hasira kiasi cha mara kwa mara kumzonga mwendeshaji wa kipindi cha mchakato majimboni kilichokuwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kufuatia maamuzi ya uonezi dhidi ya uteuzi wa wagombea wa upinzani yaliyofanywa na wasimamizi wa uchaguzi (Returning Officers) katika baadhi ya majimbo kutupiliwa mbali na Tume ya uchaguzi (NEC)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unapoingia jf unakutana na mchakato wa kura dhidi ya wagombea wote wa ngazi ya urais. Kati ya wote, dr. Slaa anaongoza kwa %79 akifuatiwa na kikwete kwa %14. Hizi takwimu zinaakisi hali halisi ya...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Dalili zote zinaonekana ule mwisho wa CCM hatimaye umekaribia. Watanzania wengi wameamka, wanajua haki zao kuliko kipindi kingine chochote sasa. Wakati wa watu kuwasikiliza watu kama wakina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The question itself imply that hawkins is cognisant of creation needless to say about the creator.if there is creation,then the creator is there "conditio sine qua non". The ultimate question of...
0 Reactions
0 Replies
763 Views
http://www.globalpublishers.info/forum/topics/inakera-hivi-kikwete-hana?xgs=1&xg_source=msg_share_url Mie chichemi Oneni wenyewe.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgombea ubunge Chadema ahamia CCM Saturday, 04 September 2010 Julieth Ngarabali, Kibaha MGOMBEA wa Ubunge wa Jimbo la Singida Magharibi, kwa tiketi ya Chadema, Nkhambaku Elisha amesitisha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Gazeti moja la kila juma la kanda ya ziwa katika toleo lake la leo limeripoti mapungunfu kwenye kampeini za wagombea kuwa HAWATAKI KUULIZWA MASAWALI kutoka kwa wapiga kura soma mwenyewe kupitia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dk Slaa awalipua Pinda, Mkapa Salim Said, Singida MGOMBEA kiti cha urais kupitia Chadema, Dk Willibrod Slaa amemlipua Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisema kuwa akiwa mwenyekiti wa kikao cha...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Energy and Minerals minister, William Ngeleja Bermuda-based TanzaniteOne Ltd. says it had been granted a "staged" exemption from Tanzania's prohibition on exports of rough tanzanite larger than...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ada ya kusajili vyama vipiya vya siasa nchini, imepandishwa kwa asilimia 2000 kuanzia leo!. Ongezeko hilo limetangwa leo asubuhi na Msajili wa Vyama, John Tendwa, kuwa ada ya usajili wa muda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni: 1."Nchi yangu,kwa umoja,amani na maendeleo yake nitaifia kwanza,iwe sahihi au imeboronga." au 2."Chama changu na kikundi chetu nitakifia kwanza,kiwe sahihi au kina sera...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu jana Chadema jimbo la Nkenge wamezindua kampeini za kutafuta kuchaguliwa kuwa wawakilishi wa jimbo zilizofanyika eneo la Ishozi na Mgombea wa Udiwani pamoja na mgombea wa ubunge Mr Phocas...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Moz unrest shows power of SMSes Maputo - Deadly protests that paralysed Mozambique's capital last week were spurred by a text message on Maputo's cell phones, signalling the power of new...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na tuweni wakweli? Katika wagombea URAIS bila kuangalia chama..ukiambiwa pigia kura "UADILIFU, HAKI na UZALENDO nani anastahili??? Jibu lako nani apewe uongozi wa nchi??? Mtanzania yeyote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Parties win poll appeal By: WERNER MENGES THE case in which nine opposition parties are challenging the conduct of Namibia’s National Assembly election late last year has been sent back to the...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Mtu mwenye data aziweke ukumbini tuone impact ya magazeti haya ya Udaku. Kila gazeti wanauza copy ngapi kwa siku? Daily News habari leo Mwananchi Tanzania Daima Nipashe Guardian
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tangu kuanza kwa kampeni za ubunge na urais tumeshuhudia majibizano mengi ya maneno na kuchafuana kunakolenga kupunguza nguvu ya upande mmoja. Katika kuchunguza kwangu nimegundua kuwa walengwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
China may have found an environmentally friendly way to save money while easing congestion on city roads, Engadget reports. Instead of spending millions to widen roads, the Shenzhen Huashi...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom