Mh. Raisi J.M Kikwete ametoa ahadi kuwajengea nyumba wakazi waliokumbwa na mafuriko wilayani Kilosa ktk kampeni yake ya uchaguzi. Pia itakumbukwa kuwa Kiongozi wa Libya alitoa ahadi kama hiyo, ila...
CCM wanatumia nguvu nyingi sana kujitangaza! Wamezagaa kila mahali kwenye mitandao!
Cha ajabu ni kwamba CHADEMA sijui hata kinachoendelea, siamini kwamba CHADEMA hakuna uwezo wa kufanya hivyo! A...
Asalaam Aleykum,
Taarifa nilizokuwa nazo ni kuwa Chama Cha Mapinduzi kimeunda kamati
ya propaganda kwenye kampeni za uchaguzi inayo ongozwa na PRINCE BAGENDA
akisaidiwa na MUHINGO RWEYEMAMU...
Na Maggid Mjengwa,
SIKU hizi imekuwa ni burudani kusoma magazeti, kusikiliza redio na hata kutazama televisheni. Maana kuna habari ambazo ni vituko vya uchaguzi haswa. Ni vioja. Na kila...
Mwaka huu duh! Kuna kazi kweli kweli. Wagombea urais wawili wakuu wanaochuana vikali katika kampeni yaani JK wa CCM na Dr Slaa wa Chadema wote wawili wamejikuta wanafunguliwa kesi za madai...
Kuna ka-kampuni fulani niliwahi kuambiwa ndo kana-haki miliki ya kuratibu mambo yoote ya madini ya Tanzanite.
Haka ka-ofisi kako based Johannesburg - sehemu za Sandton, hivi kuna ukweli wowote...
WATU wanaoaminika kuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Kijiji cha Sengenya wilayani Nanyumbu, mkoani Mtwara mwishoni mwa wiki iliyopita waliwazingira na kutaka kuwapiga viongozi wao...
Wanasiasa wa Tanzania mbona kama wana sound the same? Au ni masikio yangu tu? Hebu msikilize Zitto hapa
YouTube - Maendeleo-Mkutano wa Nane Kijiji cha Mgaraganza, Kata ya Kagongo,Kigoma Kaskazini
Tanzania is an exceptional case when it comes to the pattern of violence and instability that has prevailed in many parts of Sub Saharan Africa since independence. Despite the presence of numerous...
kwa nini sera za ccm zimekuwa za jumla jumla mno, mfano
-tutaimarisha usafiri wa nchi kavu, majini na angani
-tutashughulikia suala la kadhi
-tutaboresha sekta ya kilimo na mifugo
-tutaimarisha...
KWA muda mrefu sasa vyombo kadhaa mbalimbali vya habari na watu binafsi vimekuwa vikieneza habari kuwa Dk. Wilibroad Slaa ni Padre wa Kanisa Katoliki na kuwa kwa vile aliwahi kuwa Padre (kuhani)...
Ni jitihada za mtu binafsi, kiongozi zinazoweza kuanzisha vuguvugu la vita ya rushwa. Mnaokumbuka enzi zile za azimio la Arusha tulikemea USIWE KUPE JITEGEMEE na hii ilitokana na Nyerere, kama...
Tarehe 31 Octoba ni siku ambayo wakristo wengi wataamka mapema kuwahi kanisani ili wakitoka tu wakapange foleni tayari kwa kuchagua hatma ya nchi hii kwa miaka mitano ijayo. Kwa wale wasio...
KIKWETE NI KIRAZA SANA? HUDANGANYWA KILA WAKATI
Rais anayemaliza muda wake ameonekana kuwa na uwezo mdogo wa kuongoza kwani amekuwa akidanganywa kila wakati. Pamoja na kupewa cheki feki...
Jk promises flood victims new houses
Monday, 06 September 2010 10:48
By Venance George, Kilosa
The Chama Cha Cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate, Mr Jakaya Kikwete has said the...
Hebu angalia hiyo picha hapo chini. Ona hao watoto walivyorundikana humo darasani. Ona walivyobanana kwenye hayo madawati. Angalia hao walio sakafuni.
Wengine wameinama sijui hata kwa nini. Labda...
Nimepokea kwamasikitiko habari ya kutupwa pingamizi lilokuwa limewekwa na Cahama cha Chadema dhidi ya mombea wa ccm Rais jakaya Kikwete!
Kutokana na makosa yaliyofanywa na CCM!Hapo ndo unapoona...
Kwani Kikwete ana tatizo gani?
Hiyo dummy cheki imeandikwa dola laki mbili kwa maneno na dola 300,000 kwa namba. Je hapa Kikwete alipewa cheki ya dola ngapi? Mbili au tatu? God know how...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.