Kikwete anahutubia sasa taifa, atazungumzia
a. Kura ya maoni
b. Barabara ya lami kupita serengeti
c. Uchaguzi Mkuu
Nitawaletea hotuba yenyewe baada ya hotuba kwisha.
SEHEMU YA 1...
Tangu hatua za kwanza za kutaka maridhiano kati ya CCM na CUF kule Visiwani zilipoanza nimekuwa najiuliza: Jee maridhiano haya yakizaa srikali ya umoja wa kitaifa kule Visiwani uhusiano wa vyama...
BBC Badilisheni hii Picha.
Hii Picha ipo kwenye kurasa ya mbele kabisa kwenye tovuti ya BBC swahili, hakika ilinistua kwa kuiona hii picha nikajuwa kuwa kuna matatizo kwenye upigaji kura...
Taasisi nyingi za serikali ambazo asili ya majukumu yake ni kutumia mabavu zina tatizo la kuwa na professionals wachache sana. Taasisi kama vile TAKUKURU, POLISI, na MAGEREZA ni taasisi ambazo...
Wakati wa kumaliza Mkutano wa 20 wa Bunge Wabunge walimlalamikia aliyekuwa Spika wa Bunge hilo Samwel Sitta, kuwa TAKUKURU inawafuatilia majimboni wakati wanatoa misaada ili kutimiza ahadi zao...
Vijana waliojitokeza kugombea nafasi za ubunge na uongozi katika ngazi nyinginezo kwa tiketi ya CCM ni wengi na wanazidi kuongezeka. Wengi wa vijana hawa ni wasomi na wenye shahada za juu...
Kwa heshima ya chama na serikali kwa ujumla
kwa heshima ya wana ccm wote wanaokitakia chama chao mapenzi mema
ninatarajia kesho kumwona mzee wetu mathread akieleza imekuwaje uhuni ama naweza ita...
Ayawi ayawi yamekuwa
kadi 400 za waanachama wa ccm feki zimekamatwa ktk kinyanganyiro cha uchaguzi ilala jangwani huku wakilalama iweje uchaguzi ukafanyike nyumbani kwa mjumbe;;matatizo haya...
Ikiwezekana wacharazwe bakora kadhaa mbele ya kadamnasi ili iwe fundisho mbele za watanzania kuwa sasa tumedhamiria kuifuta rushwa!
Hii ni fedheha si kitaifa tu bali kimataifa pia...
What a...
Wapendwa naomba msaada wenu
leo hii nimeona sehemu nyingi za kupiga kura dar kawe wakitukana nana hasa
na wengine kulalamikia iweje londa anagombea udiwani huku kinondoni
na ubunge seehemu...
Kwa wale walioangalia TBC habari saa mbili mnaweza kuamini sasa hii biashara ya kupiga kura ilikuwa wizi mtupu ..nasema hivi kwa maana tukianza na dar wameshindwa hata kupeleka viafaa vya kupiga...
Tangu DK. Slaa apendekezwe na kamati kuu ya CHADEMA kuwa mgombea wa Chama hicho nimetembelea tovuti ya CHADEMA kuona kama habari yake imepewa nafasi ya kwanza lakini nimeambulia patupu. Tovuti...
'siamini hata kidogo kuwa watoto wanaozaliwa na mama au baba fulani ndio wana uwezo au kipaji cha kuwa viongozi '
Hayo si maneno yangu bali maneno ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu...
Kwa jinsi hali ya kisiasa na joto la uchaguzi lilivyopanda, binafsi sichelei kuyamka kuwa hakuna kizuizi kitakachomzuia Dr. Slaa kuingia Ikulu baada ya Oktoba 31. Mtu pekee ndani ya CCM ambaye...
Raia Mwema: Slaa awataka Duni, Hamad wa CUF
Baada ya mgombvea urais kupitia Chadema, Dk W. Slaa kubadili upepo wa kisiasa nchini kuelekjea uchaguzi mkuu mwaka huu, chama hicho sasa kimo katika...
Taarifa za jana usiku zinaeleza kwamba kuna watu wanaojiita maofisa wa Takukuru walikuwa wakipitia katika mabaa na kuwabughudhi wagombea wa CCM waliokua wakijipongeza kwa kunywa bia ama kula tena...
Hi dear friends,
Me and my little ones (vinzi) we have been moving around the country following CCM's election primaries. It has come to my attention that yesterday RO has confirmed what some of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.