Slaa avunjika mkono
Alianguka bafuni, apanda jukwaani na POP
na Kulwa Karedia
SAFARI ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na...
Alianza Shamsa ... sasa naona Shy-Rose anafuata nyayo.... Inawezekana huna chochote cha kuwaambia wapiga kura zaidi ya kupiga magoti na kuomba wakuchague?
Jimbo la Kinondoni
Mgombea ubunge...
Nimeona nyomi la watu, check hapo chini mniambie wadau.
1.Mwenyekiti wa CHADEMA akiwatambulisha wakazi mjini Mwanza.
2.Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere...
Katika hatua nyingine, chama hicho leo kinazindua mpango wa Saidia Slaa Ashinde (SASA) katika mkutano utakaofanyika mjini Arusha.
Akitangaza mpango huo, Bw. Wilfred Lwakatare ambaye pia ni...
Habari za Jumapili wadau? Vipi,hivi kwa kuwa Pasco yupo Zenj ndo hakuna tena wa kutujuza yanayoendelea kwenye kura za maoni za CCM huku bara? Invisible vp,tunakutegemea mkuu...
Nimefuatilia kwa karibu sanani vyombo vingapi viliandika kuhusu Dr. Slaa kule Arusha na jimboni kwake juzi ilee, lakini ukweli ni kwamba ukiacha kwa upande wa TV stations; Channel Ten na ITV hawa...
Kwa walioangalia TBC1 taarifa ya habari inaonekana TAKUKURU wameamua kudili na CCM....
Huko iringa mwandishi wa TBC1 anasema Mh Mungai na Bw Frank Mwakalebela wamehojiwa baada ya kukutwa wakigawa...
Jamani kama vyombo vya habari kama issamichuzi.blogspot.com, TBC na Star TV havitaki kuleta habari; kwanini website ya Chadme (i.e. Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)) haiwi...
Habari Ndo Hiyo Mwaya . . . . .
Habari kutoka kwa Wadau zinasema kuwa anagawa pesa si kawaida na ni kwa muda mrefu tu. Wapiga kura waliokwazwa naye wanayo matumaini bado kuwa hatimaye naye...
Wakuu zangu najaribu kutazama possibilities hapa kwa akili ya kufikirika!..
Mathlan Dr.Slaa akipata mgombea mwenza na mgomea Urais wa Zanzibar kuwa Salim A. Salim (ambaye aoondoke CCM) itakuwa...
Samahan wapendwa kama ntawaudhi
kuna jambo linanitatiza kila nikiamka asbh ni kura za ccm
waziri wa ccm,diwan wa cc,katibukata wa ccm,mkuu wilaya wa ccm
kakamatwa na rushwa najiuliza hivi akuna...
Ukweli utaendelea kubaki kuwa, ili mtu aweze kuishi ana hitaji kazi ambayo ni "shughuli yoyote ya halali inayoweza kumpatia riziki yake". Suala la ajira kwa vijana na wananchi limeonekana kuwa ni...
Kama vile samaki anavyohitaji maji ili aishi vivyo hivyo fisadi huitaji
ufisadi ili aishi na kufanikiwa. Kumtoa fisadi kutoka ufisadi ni sawa na
kumtoa samaki kwenye maji ukidhania unamuokoa...
Rushwa ndani ya bandari ya Dar es Salaam si jambo jipya. Bali kwa upande mwingine, jipya linakuja pale inapogundulika kuwa kuna urasimu ndani ya Mamlaka ya Mapato Tanzania.
Pengine Mamlaka ya...
Wajameni hebu niambieni huyu Prof. huwa anashinda vp ubunge maana katika watu ambao huboronga yeye huongoza na zaidi ya hapo hupataje uwaziri au ndo ule undugu na Mkulu! nchi hii uniudhi kha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.