Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Mambo ya CCM kutumia fedha kwa kujipatia uongozi yanaendelea kujidhihirisha. Kwa sasa PCCB ina mshikilia Mh.Mrema na mabalozi kadhaa kwa tuhuma za rushwa.....nitawaletea habari kamili baadaye...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Ndugu wana JF wote, wanaChadema na wasio wanaChadema wapenda maendeleo na wapenda mabadiliko. Nimeanzisha thread hii makusudi kabisa kuweza kupata mawazo yenu juu ya uendeshaji wa kampeni za...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric James Shigongo amekanusha uvumi unaoendelea kwenye Jimbo la Buchosa kuwa amekamatwa na TAKUKURU. Shigongo, aliliambia gazeti hili juzi (Jumatano) kuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari gani? Mimi ni Irene, natoka Italy, Naples na nasoma kiswahili katika chuo kikuu. Lazima nisome kwa tasnifu na ningependa kuandika kuhusu maswala ya uchaguzi ujao na kufuata kampeni zima...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
kwa wanaofahamu money laundering haina tofauti na kuiba gari, ukajaribu kufuta chasis number yake original halafu ukaweka yako feki, ukaibadili rangi na vitu vingine, halafu ukairudisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
siasa zilizopitwa na wakati za maji taka hata wananchi wanawashangaa wanajiuliza iweje kila chama cha upinzani kiwe cha kidini? wanajiuliza ule ukabila wa Chadema umeishia wapi? CCM hawana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF, ndani ya wiki hii kumekuwa na taarifa katika vyombo mbalimbali vya habari kuhusu watu fulani fulani "kukamatwa" siyo kutuhumiwa. Kukamatwa kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa. leo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi ari ya kutenda kazi katika kura za maoni za CCM inaonesha mpasuko katika CCM? Au wanatumiwa na kundi fulani la CCM? Je, kwenye kuwapata marais - Zenji na Tanzania hakukuwa na rushwa? Hivi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, Nimekuwa nikisikia harakati zinazoendelea huko CCM kuhusu kuwania viti maalumu wanawake, walemavu, vijana, wafanyakazi na zingine. Inavyoonyesha karibu kila mkoa wanatoa washindi wawili...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dont bypass election, Go and cast your vote for Slaa.... Tunguli haziwezi kushindana na nguvu za Mungu hata siku 1. Kimsingi inabidi tumuombe Mungu ili zote zisizo kuwa halali njia ambazo CCM...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I read the above i IPPMedia I would be grateful to know how the lucky ones were selected. Much obliged.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKUU,Kutokana na mapokezi makubwa aliyoyapata Dk W.Slaa Arusha Mjini kwenye ngome ya CCM unafikiri itawezekana kwa chama hicho kutetea jimbo lake??????????????.mpaka sasa Dr.Batilda ameanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DC wa Kasulu ,Betty Machangu amekamatwa kwa Rushwa,Rushwa ya uchaguzi!!! UUUwi aibu gani hii? Kiongozi anayetakiwa kuwa mhimili wa mamlaka ya Rais Wilayani ndiye anakamatwa kwa rushwa. Huyu ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
GREEN DARD WA CCM IRINGA MJINI WANATUMIWA NA WAGOMBEA KUIVURUGA CCM Katibu mtendaji wa Club ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa Bw Frank Leonard jana amezingirwa na vijana wasiojua...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Silaha haramu zaidi ya 5000 zimechomwa moto kwenye uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Morogoro. Lakini kuna mambo mengine yanashangaza kama yamefanywa na watu wenye akili kichwani au la. Angala...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau je katika chama cha ccm kinafuata mrengo upi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu watanzania wenzangu, tumeona vielelezo kadha wa kadha kwamba wana CCM wameoza kwa rushwa na ufisadi! Hata wale ambao hatukuwategemea kabisa tunaona wanakutikana na matukio ya ajabu! Hebu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau, nawaletea maelezo ya Mtanzania ambaye aliniambia akipata nafasi ya kumuona rais atamueleza yaliyo moyoni mwake...haya ni baadhi ya maelezo...endeleeni "Mimi ni Mtanzania wa kawaida sana...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
If you already have a facebook profile, Here is Dr Slaa's page. Dr. Willibrord Slaa | Facebook Spread the word.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Tumepiga kelele kwa miaka minne na kelele zetu zimebatizwa kuwa ni "chuki binafsi". Tumewapigia mbiu waamke lakini panda zetu zimekuwa ni "kelele za mlango" ambazo hazimzuii...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom