Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro aliemkamata DC ahamishwa, ashushwa cheo. Taarifa za uhakika zinasema kuwa kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro ambaye maafisa wake walimkamata Mkuu wa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwanza napenda kusema kuwa nimefurahishwa sana na DK Slaa kugombea Urais, yaani siwezi kuelezea furaha yangu. Kwanza nimewaambia ndugu zangu wote kama kumi na zaidi KURA kwa Dr Slaa. Ila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi hii timu ya uchunguzi hiko makini kweli? Repoti hii ya uchunguzi siamini kama imeandaliwa na jeshi letu la polisi na kama ni kweli basi tuna safari ndefu katika idara hii. JESHI LA POLISI...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tunamuomba Rais wa Tanzania aliyeko madarakani ampatie Mh Dr W.Slaa ulinzi wa uhakika kutokana na nafasi anayogombea na ukizingatia yuko kwenye hali ya hatari kuliko wakati mwingine wowote. Hili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi mwananchi anapopokea tshirt na khanga anatarajia kiongozi aje amfanyie lipi zaidi atakapochaguliwa? Ni nini kitambana kutumikia wananchi ilhali alichaguliwa kwa bei? Hivi mwananchi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
WE THIO LAFKI YANGU TEENA! NILIRUDI nyumbani jioni baada ya mizunguuko yangu ya kimaisha. Kwa kawaida mwanangu mdogo, Lubna, (jina la kitoto tunapenda kumwita Lu), hunikimbilia kwa shangwe kuja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hii kamata kamata inayoendeshwa na Takukuru hivi sasa za wagombea wa CCM watoa rushwa zina udhati wowote katika kukabiliana na ufisadi uliokithiri ndani ya chama hicho au ni changa tu la macho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu mlioko Same tupeni updates basi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba, ungependa kuona mabadiliko gani ya kweli kutoka kwenye serikali mpya itakayoundwa? Mimi binafsi ningependa kuona mabadiliko mengi lakini nitaanza na hili la...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wachache wetu tuliokuwapo wakati wa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika, tunakumbuka jitihada za serikali ya kikoloni kujaribu bila mafanikio kuvinyamazisha vyombo vya habari visitangaze...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
mpaka sasa idadi ya kadi nyekundu kwa timu mbili za ccm ni: mafisadi 0-2 wapambanaji waliopewa kadi nyekundu ni: james lembeli: (aliingizwa chaka na kocha wake kwani kocha alimwita nje ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni dhahiri kwamba kila Mtanzania mzalendo na mwenye uchungu na nchi yetu anatamani kuona mambo yakibadilika huko nyumbani.Nchi yetu ina takriban miaka 50 tangu ipate uhuru mwaka 1961.Ukiondoa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu jana na leo kunashughuli nyingi za ukarabati wa barabara zilizogeuka mahandaki hapa mjini Arusha.Maeneo ya Sanawari,barabara inayotenganisha Sheck Amri Abeid na CCM mkoa nyingine nyingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gazeti la rai katika toleo lake la leo limeendelea kuandika habari zinazomhusisha mgombea wa chadema katika nafasi ya urais (dk slaa) na maaskofu. Eti sasa wanadai wabunge waislamu wa chadema...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Dk Slaa: Wana CCM niungeni mkono nimng'oe Kikwete Send to a friend Tuesday, 27 July 2010 22:50 0diggsdigg Dk Slaa Mussa Juma, Karatu MGOMBEA urais wa Chadema Dk Wilbroad Slaa, amezidi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wakuu, gazeti hili nilipata kulijua zaidi ya miaka 10 iliyopita; likiwa na uadilifu na weledi wa hali ya juu kiasi cha kufanya mmiliki wake kutangazwa kuwa si raia wa nchi hii kisheria. lakini...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Bado nakumbuka yaliyotokea kwa jirani zetu Kenya ambako tamko la aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Bwana Samuel Kiviutu, lilivyoweza kuigeuza nchi jirani, Kenya, kuwa uwanja wa mapambano...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Siasa ya ujamaa na kujitegemea ilitudumaza - Mtikila na Ratifa Baranyikwa Tanzania Daima Jumapili, 3 Februari 2008 Hivi karibuni Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF, lengo la thread hii ni kuonyesha kuwa pamoja na kuwa wengi wetu tunaunga mkono mabadiliko, tena wengi ni watu wenye uzalendo 'kiasi' na kuipenda nchi yetu, bado kuna mambo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Closed
Wandugu, baada ya kumpata mgombea makini kutoka CHADEMA, nafikiri kwamba sasa ni wakati mzuri kwa CUF kuamua kumuunga mkono bwana huyu. Na katika kutekeleza hilo, napendekeza msemaji wa kambi ya...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Back
Top Bottom