KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Hivi kweli Mheshimiwa Sitta kutoka katika uvungu wa moyo wako unaweza kweli kudai hapo dodoma mnatengeneza katiba mpya ya watanzania wote? Hivi ni kweli katika mijdala yote inayoendelea hakuna...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bunge la Katiba likiahirishwa hadi baada ya uchaguzi kutakuwa na hasara zifuatazo 1.Pesa za walipa kodi zitakuwa zimepotea bure 2.Uwezekano wa kupata pesa zingine za kugharimia zoezi hilo kwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa ufupi *".Sisitunao wabunge na wawakilishi kutoka Zanzibar wa vyama vyetu na hawakwenda hata kwenye vikao, tukiwajumlisha tunahitaji watu 14 kutokana na wale wajumbe 77 (wa Zanzibar) wa Kundi...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
Kinachoendelea kujadiliwa katika kamati za bunge la katiba hivi sasa ni masuala ya Tanganyika (Tanzania Bara)! Si masuala ya muungano! Masuala haya ya ardhi, wakulima, wafugaji nk hayahusu kabisa...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni nia ya wazi iliyoonyeshwa na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (waliomaliza mkutano wao hapa Arusha hivi punde). Nia hiyo inalenga kupata tamko la kimahakama juu ya madaraka ya BLK kuhusu...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
Deus Kibamba, unakwenda kubaya. Naona unakuwa kibaraka wa CCM. Unajua kilichowatoa UKAWA bungeni. Leo unatoa matamshi ya ajabu. Kaa nao uwaelewe! ========================= Mwenyekiti wa...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Kamati tano kati ya saba za Bunge Maalumu la Katiba zimejikuta katika njiapanda ya kushindwa kufanya maamuzi kutokana na kukosekana kwa akidi kwenye vikao vya kamati hizo. Kwa mujibu wa mjumbe...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Pata taarifa nyingi kuhusu RASIMU YA KATUBA MPYA. Tumia link hii https://www.dropbox.com/sh/a29issp3nkf819v/AADVQAfmRSWnuuqAsdbeb20pa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika mapendekezo ya CCM kuhusu katiba mpya wanasema wanataka serikali 2 zilizoboreshwa na sehemu ya maboresho hayo ni bunge la Jamhuri ya muungano kuwa na bunge la Tanganyika ambalo litajadili...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF Swala la urai pacha naona linashindwa kuchukuliwa kama sehemu nzuri kwa serikali kuweza kujipatia mapato. Japokuwa wajumbe wa bunge la katiba wametofautiana katika swala hili, kwa maoni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je kwa hali ilivyo sasa ni kipi bora kati ya kusitisha bunge maalum au kuendelea nalo
0 Reactions
1 Replies
796 Views
Kama kweli sheria hairuhusu mtu ye yote kusimamisha bunge la katiba akiwemo rais, je busara tulizopewa bure na Mwenyezi Mungu haziwezi kutumika?! Ni dhahiri kuwa 2/3 haitapatikana ili kupitisha...
0 Reactions
4 Replies
946 Views
Kwa hali ilivyo sasa ni ndoto ya mwendawazimu kupata katiba mpya achilia mbali iliyo bora,tatizo ni pale wajumbe walio wengi walipokataa mapendekezo ya tume( wana haki).kwa maini Yang rasimu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar inayoundwa na CCM na CUF inataka serikali mbili ambazo ndizo zinawapa raha ya kula katika muungano.Kususa kwa wanzazibari hasa CUF ni kuhakikisha theluthi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Inakuwaje Serikali ya Muungano inawalipa Mawaziri na wengine serikalini wasiohusika na Mambo ya Muungano ? Huu kama si upumbavu na wizi wa kuiibia serikali ya Muungano kuwalipa Mawaziri...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ametoa agizo hilo leo Iringa katika Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa Ngalalekumtwa katika kanisaa katoliki Iringa. Amesema ukawa lazima wahakikishe wanarudi bungeni kujadili.katiba na kusisitiza...
1 Reactions
238 Replies
20K Views
Hili suala linatakiwa kuangaliwa kimapana zaida,ila je wapenda madaraka watakubaliana nalo? SUALA la mawaziri kuwa wabunge au hapana, limezua mjadala mkali katika vikao vya kamati mbalimbali...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Alfajiri ya leo kupitia vituo vya redio vya Kwanza Jamiina Nuru FM nilishiriki kuongoza mjadala uliotokana na yaliyomo kwenye magazeti ya leo. Habari kubwa ilikuwa ni UKAWA...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau, amani iwe juu yenu. Mtakumbuka kuwa Jumanne tarehe 12 Agosti 2014, viongozi wa UKAWA walitoa tamko la pamoja lililosomwa na James Mbatia la kumtaka Rais kuvunja Bunge Maalum la Katiba...
3 Reactions
79 Replies
15K Views
Viongozi kadhaa waandamizi wa Ukawa wamekataa katakata kumjibu Augustino Matefu anayejiita Mwenyekiti wa Kikundi kinachojiita Tanzania Kwanza. Viongozi hao walihojiwa jana kutaka kufahamu kauli...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom