KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Mwishoni mwa wiki, mjumbe mdogo kuliko wote katika Bunge Maalumu la Katiba, Teddy Ladislaus (22) aliamua kuvunja ukimya. Alizungumza kwa uchungu kuhusu kuendelea na vikao vya Bunge Maalumu ilhali...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Ni hivi mchakato ulikuwa unaendelea vizuri tu kuanzia kukusanywa maoni kwa wananchi mpaka kwenye mabaraza lakini ulipokuja wewe kutoa hotuba yako bungeni mambo yakabadilika baada ya kutoa hotuba...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mjumbe wa ukawa Teddy Ladislaus amehudhuria vikao vya kamati za bunge la katiba mjini dodoma na kusaini kitabu cha mahudhurio. Mjumbe huyo ambaye ni mjumbe namba 2 amehudhuria vikao vya kamati...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Mwl. Nyerere alisema, heri ulevi wa pombe kuliko ulevi wa madaraka. Maana ulevi wa pombe huisha bali ulevi wa madaraka hauishi. Je ulevi wa madaraka tunaouna kwa sasa ndani ya serikali ya CCM ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kwa wajumbe wa bunge maalumu la katiba kufuta kwa vipengele vya mbunge kuwajibishwa na wananchi walio mchagua kwa kushindwa kutimiza majukumu yake na kile kipengele cha ukomo wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Sijawahi kukuunga mkono,kukubaliana na wewe wala kupenda chama chako. Lakini kwa mkakati wako wa kuondoa matumizi mabaya ya fedha za umma na ile kauli na msimamo wako wa katiba mpya,nakupa hongera...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nilisema katika comments flani hapa JF kuwa Mh.Kikwete hafai kuwa Raisi kama hawezi kulivunja Bunge ,wanasema hana ubavu au hakuna kifungu kinachomruhusu na kumuwezesha kulivunja Bunge la Katiba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Suala la kupokezana urais limekuwa vuta nikuvute baada ya wajumbe kujadili ibara 71 (1)(2) ili nchi zote zinufaike; hii ni kutokana na muda mrefu bila ya Zanzibar kupata rais wa muungano...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Kwanza kabisa ninayo furaha kuwatakieni nyote Mapumziko mema ya Sikukuu ya Eid El Fitri. Kubwa zaidi ni kumwomba Mwenyezi Mungu akubali toba za Waislam wote kwa kutubu...
5 Reactions
97 Replies
7K Views
Nyaraka za iliyokuwa tume ya katiba ambazo zimekuwa adimu sana baada ya tovuti ya tume kufungwa hatimaye zimepatikana na kila mtanzania mwenye mapenzi mema na nchi yetu anaweza kuziona nyaraka...
18 Reactions
37 Replies
5K Views
Hawa ndio wanaweza kutupatia katiba mpya ama kutukosesha. 1. CCM hawa ni wahusika wakubwa na wana nguvu ya kiserikali na kwa uwingi wa wabunge wa bunge la katiba. Kwa kuutumia mfumo uliopo wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dodoma. Kero za Muungano na taasisi zake zilizotajwa na mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zimekuwa zikiwatesa wajumbe wa Bunge Maalumu katika mijadala ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau karibuni tuangalie filamu mpya iliyo andaliwa na kituo cha haki za binadamu LHRC.Filamu hii inahusu namna katiba mpya inavyo srahili kuwa.. more update later...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kamati ya Uongozi ya Bunge Maalumu la Katiba, imekubali maombi ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), yaliyotaka Katiba inayopendekeza kuundwa kwa Baraza la Habari, litakalosimamia taaluma hiyo...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu. Wenzetu wa UKAWA walimwagiza Rais Kikwete (sina uhakika kama wana mamlaka hayo au la) kwamba asitishe shughuli za Bunge Maalum la Katiba la sivyo wataenda "kushtaki kwa wananchi" baada ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ukweli ni kuwa kazi ya BMK ilikuwa ni kuangalia namna ya kutekeleza maoni ya Watanzania na sio kuyakataa au kuja na rasimu mpya za vyama au vikundi. Vinginevyo kila chama au kikundi kingepewa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari wadau Kule Dodoma Bunge Maalum la Katiba linaendelea kwa kujadili rasimu ya katiba ingawa sina hakika kama ni ile ya wananchi kupitia Warioba na tume yake. Sasa mimi nauliza tutapataje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rungu jingine badala ya lile la akina Warioba limevurumizwa DODOMA na kuzidi kuwafanya miccm ianze kutoa mijicho na kuangalia kunani ? Ni baada ya mmoja wa majaji wa kuaminiwa na SERIKALI kuwaruka...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Back
Top Bottom