KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
"Demokrasiabila mipaka ni ukichaa na demokrasia bila nidhamu ni uwendawazimu"Mwl Jk Nyerere Ndugu zangu Watanzania, naomba mfahamu kuwa miongoni mwa wajumbe wote wabunge la katiba takriban 600...
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Siasa ni mchezo mchafu,kwa mtazamo wangu mm,naona niwashauli wafuasi wa ukawa hasa hawa wabunge tena zaidi ni wabunge vijana walioaminiwa na wananchi wao kwa nguvu ya kura na si pesa,tunaamini...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kura ya Maoni» Bunge Maalum la Katiba. Je, lisitishwe? Ndio 62% Hapana 38% Total number of votes: 493
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna kauli kwamba wazee kina Warioba,Butiku,Salim A. Salim wasubiri kufa zama zao zimepita, wawaachie vijana nao ni zamu yao wafaidi. Je! Wazee kina Wassira, Kingunge na wengineo wao zama zao ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mbunge wa Viti maalum kupitia CHADEMA Mh.Leticia Nyerere kwa mujibu wa ITV habari usiku huu ameonyeshwa na amesaini kitabu cha Mahudhurio ndani ya Bunge maalum La Katiba ikiwa ni kinyume na...
5 Reactions
350 Replies
42K Views
Wajumbe wamependekeza uwepo wa Makamu wa Rais watatu. Wa kwanza ni yud ambaye anatokana na Mgombea Mwenza wa Jamhuri ya Muungano. Wa pili ni Rais wa Zanzibar ambaye atakuwa Makamu wa Pili wa Rais...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kamati hii imeamua watanzania wawe na uraia wa marekani na nchi za ulaya,lengo ni kuifanya nchi ipendeze kwa kuwa na tamaduni na kiingereza kama cha ulaya ambacho kimewavutia viongozi wa kamati...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakubwa? Katiba inayotengenezwa ni ya Tanganyika pekee au ni ya jamhuri ya muungano wa Tanzania? Kuna public figure kwa upande wa Tanganyika wako ndani ya bunge maalum ila upande za...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Dodoma. Wajumbe wa Kamati Namba 10 ya Bunge Maalumu, juzi walijikuta katika wakati mgumu baada ya kubanwa kwa karibu saa nzima na Mbunge wa Mpanda Mjini (Chadema), Saidi Arfi. Habari kutoka ndani...
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Kuna watu watu wengi wamekuwa wakisema UKAWA warudi kujadili serikali 2 kisha wananchi wataamua. swali kwao ni kwa nini hao walio bungeni wasikubali kujadili serikali 3 zilizopendekezwa na...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Mtanzania leo hii limeandika ukurasa wa mbele kwamba kuna wajumbe 80 wa CMM ambao hadi sasa hawajahudhuria vikao vya BMK tangu lianze tena wiki iliyopita, yaani hawaripoti kabisa. Kweli nyani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau salaam, Mara kwa mara tumekuwa tukisikia wanasiasa (wengine na PHD)wakilalamika majukwaani kuhusu kushushwa kwa tovuti ya iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya katiba na kupeleka lawama zao moja...
5 Reactions
64 Replies
15K Views
idadi ya wabunge 80 hawajafika kwenye vikao vinavyoendelea katika BMK. Mawaziri ambao ni wabunge maalumu wa BMK wana majukumu mengine. Je wanatutendea haki? Kwa maono yangu wabunge wangepatikana...
0 Reactions
3 Replies
769 Views
TAFADHARI UNAOMBWA KWA MOYO MKUNJUFU UWEKE SAHIHI KWENYE PETITION HII HAPO CHINI ILI WATANZANIA MILLION MBILI (2,000,000) WANAOISHI DIASPORA WAPATE HAKI YA KUPIGA KURA NA URAIA PACHA. MUONGOZO...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
mchakato wa katiba bado unaendele na huu ni ujumbe wangu kwa leo. 1)SISIEMU NA UKAWA,MBONA MWAZIDI VUTANA ?. BADO MAMBO HAYAJAWA,MNAANZA KAMATANA. MTAWEZA KUTUGAWA,NA NCHI MTAICHANA. TUSITUMIE...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
WAKATI Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta akiwataka wanasiasa nchini kuacha kuchezea Muungano, Jukwaa la Katiba limesema limefurahishwa na hatua iliyofikiwa na Bunge hilo kwa...
1 Reactions
4 Replies
897 Views
Bunge Maalumu la Katiba Mpya linaendelea licha ya vilio na miito kutoka watu na makundi mbalimbali kutaka lisitishe shughuli zake mpaka maridhiano yatakapopatikana kati ya makundi yanayosigana ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MKURUGENZI wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Salva Rweyemamu, amesema hata kama viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakikutana na Rais Jakaya Kikwete, hakuna kitakachobadilika kuhusu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta akizungumza na wafugaji kutoka mikoa mbalimbali nchiniwalipomtembelea ofisini kwake Dodoma jana. Wafugaji hao walipelekwa bungeni hapo na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba anayedhaniwa kuwa na umri mdogo zaidi, Teddy Ladislaus (22), amesema kitendo cha Bunge hilo kuendelea na vikao vyake ni kutumia vibaya fedha za walipakodi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom