KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wadau, UKAWA kwa ujumla wake kwa nje wanajipambanua na kujinadi kama wanatetea na kupigania serikali tatu.Hili ndilo linalozungumzwa na ni rahisi tu kueleweka. Kwa ndani; ukawa, kuna...
7 Reactions
59 Replies
6K Views
Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP) Moshi. Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP) amedai kitendo cha yeye kubaki kwenye Bunge Maalumu la Katiba kumetumiwa vibaya na wahasimu wake wa kisiasa...
4 Reactions
65 Replies
7K Views
Dodoma. Wakati kamati za Bunge Maalumu zikiendelea na uchambuzi wa Rasimu ya Katiba, mwelekeo wa kuzika muundo wa serikali tatu uliopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba umejidhihirisha huku...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Si jambo geni tena wala si habari ngeni japo inawekewa usiri sana,wanaoongoza uasi katika nchi za mashariki ya mbali na kuyumbisha matafa hayo wana uraia wa nchi za magharibi,mataifa hayo hutumia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimefanya rejea nyingi kuhusu matokeo ya jamii au watu kudai asili yao,ardhi yao,uhuru wao au mamlaka yao.Nilichogundua ni kuwa mwisho lazima wawe washindi.Hivyo toka madai ya mamlaka dhahiri ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
TAMAA ya madaraka, iliyoanza kuota mizizi ndani ya akili na mioyo ya baadhi ya Watanzania wenzetu, kama haitadhibitiwa kwa nguvu zote na mamlaka za kimifumo zilizopo, ipo hatari kubwa ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
NIMEKAA NA KUTAFakari sana kuhusu bunge hili la katiba kuanza kujadili mambo ya ardhi wafugaji na rasilimali za Taifa ilhali wabunge wazanzibar wamo kwenye bunge. hoja yangu ni kua wazanzibar...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Katiba ni zao la maridhiano,katika nchi zinazojenga demokrasia kama Tanzania ni mchakato wa kisiasa zaidi lakini pia uwa inalindwa na sheria na katiba ndio maana si vyema kusitisha majadiliano au...
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Kutokana hali ilivyo sasa nashauri wabunge wanaounga mkono serikali mbili wapewe ulinzi wa kutosha huko bungeni. Kutokana na mivutano kukua hadi nje bunge, hilo ni suala ambalo halina ubishi...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Nashukuru viongozi wa UKAWA kwa kuamua leo kuikata kiu yangu na Watanzania wengine wenye kiu kama mimi. Tukio ambalo limelisubiria kwa shauku kubwa na Watanganyika kufanyika UKAWA kufanya...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Mimi ni Mwananchi wa kawaida kabisa, mwananchi ambaye usiku na mchana huwa nahangaika kuhudumia tumbo (Mganga njaa). 12April 2014, Bunge maalum la katiba liliahirishwa kutokana na kituo cha...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
BARAZA la Maadili la Kiislamu nchini (BAMAKITA), limeunga mkono kauli iliyotolewa na Mbunge wa Iramba Magharibi, mkoani Singida, Bw. Mwingulu Nchemba kutaka vikao vya Bunge Maalumu la Katiba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu ntumekuwa tukifikiri juu ya njia tunayoweza kutumia ili tukafikia hatma njema katika suala hili la idadi ya serikali kwa kutumia njia zenye tija zaidi badala ya kulumba wakati wote na sasa...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Wanajamvi,licha ya kuwa hoja ya kupatikana au kutopatika kwa theluthi mbili ili kupitisha rasimu ya katiba katika bmk sasa kunaonekana kuwa si hoja tena, lakini kuna mkanganyiko ambao mimi binafsi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Neema ya Mungu iwe juu yenu. Kwanza niwape pole kwa kitambo kidogo tangu niwe nanyi. Hii ni kutokana na majukumu ya kawaida. Wadau, kama mnakumbuka ni kwamba kuna taarifa zinazosambazwa...
6 Reactions
265 Replies
23K Views
Alliance for Change and Transparency-Tanzania Maoni ya ACT-Tanzania kuhusu namna ya kutoka katika mkwamo uliopo katika mchakato wa Katiba Mpya. 1. Nchi yetu iliingia katika mchakato wa Katiba kwa...
4 Reactions
173 Replies
14K Views
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA BUNGE MAALUM: BUNGE MAALUM LA KATIBA LIPEWE NAFASI YA KUFANYA KAZI ZAKE JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE MAALUM Ofisi ya Bunge Maalum, imeshangazwa na kusikitishwa na...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Ili kupata "katiba ya watu iliyotoka kwa watu" kwa kimombo peples driven constitution UKAWA wako sahihi kabisa;Wasioweza kusoma alama za nyakati watashindwa. Jiulize haya madai makubwa ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom