Mheshimiwa Rais, kwa sasa kuna kelele nyingi kutoka kwa watu ambao hawakuwa na dhamira ya kupata katiba mpya wakikutaka wewe Rais Kikwete kulivunja Bunge Maalum la Katiba. Watu hao wanaongozwa na...
Mbowe, mke wake na watoto wake.......Lipumba, mke wake na watoto......Mbatia, mke wake na watoto........Lissu, mke wake na watoto.....Mnyika, mke wake na watoto......Slaaa, mke wake na...
Wanajamvi Mbatia Kafanya Press Lamada Hotel muda mchache uliopita.
Nashindwa kuwaekewa Viongozi Hawa wa Siasa Nchini wanashindwa kwenda Bungeni wanakalia Kupiga Kelele ktk Viombo vya Habari...
Kwa maana hiyo Bunge, hilo linatumia Dola 5,400 sawa na Sh8.91 milioni kwa siku kugharimia vipaza sauti katika vyumba 12 vinavyotumiwa na kamati hizo na kwa siku 16 ambazo kamati zitakutana...
Msingi wa kuandikwa kwa Katiba mpya ni ushiriki wa wananchi katika mchakato mzima. Wananchi hushiriki katika kutoa maoni yao;Rasimu huandaliwa;Rasimu hujadiliwa na hatimaye kupigiwa kura kuwa...
Asaalam aleykum & bwana yesu asifiwe...
Nianze kwa kutoa shukran za dhati kwa mungu baba na wazazi wangu bila kusahau ndugu na jamaa
zangu.Kumekuwa na malumbano yanayoendelea nchini kwa hivi...
Habari,
Wana Jf najiuliza maswali mengi juu ya mwendelezo wa mjadala wa katiba ambao Mh Samwel sittah amesema hauwezi sitishwa kwani upo kisheria .je sheria iliyotungwa kwa ajili ya katiba mpya...
Kila ninapokiwaza Kikundi hiki haramu cha UKAWA nashindwa kukimaliza! Kinapinga Muungano eti kwa kuwa ni "BATILI!" Tukikiangalia kikundi chenyewe kama kinafuata Sheria nako tunaona ndio wavunja...
Kwa muda mfupi alioongoza Bunge Maalum la Katiba,Samuel Sitta ameonyesha kukosa sifa zote muhimu kama Kiongozi/Mwenyekiti.Sitta ameshindwa kusimamia nidhamu miongoni mwa Wajumbe hali iliyopelekea...
Kutokana na sintofaham na mambo yanayoendelea kwahivi sasa juu ya mchakato mzima wa kupatikana kwa katiba mpya yamekuwa yakimkwaza,kumuumiza na kumtatiza sana Mheshimiwa Raisi.
Alichokuwa...
Vuguvugu la katiba mpya, ndio habari inayo chukua nafasi, katika vyombo mbali mbali vya habari, na mijadala yake imefika maeneo tofauti tofauti ya watu. Makazini, vijiweni, mitaani, na sehemu...
Hamashauri kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi umetoa onyo kali kwa mjumbe yoyote anayetoka NCCR kuonekana kwenye viunga vya BMK Dododa au sehemu yoyote ambayo bunge hilo linaendesha vikao vyake...
Wanasiasa wa Tanzania bara wana hasira zanzibar kujifanya nchi na kuwa na katiba yake wakati tanzania bara haina katiba ya nchi yake ya tanganyika.Hivyo kulipa kisasi wanataka SERIKALI YA...
Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Freeman Mbowe akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Wanaomfuatia ni wenyeviti wenza wa umoja...
Kama Bunge la katiba
lisipohairishwa na Rais Kikwete
na UKAWA wakaamua kuongoza
wananchi kuandaamana nchi
nzima kudai katiba mpya kama
walivyosema. Je, upo tayari
kuungana nao?
A: NDIYO
B...
Huyu mbunge aliyejitetea kuwa alifika maeneo ya bunge kuchukua fedha za matibabu hafai kwani ni muongo!
Wabunge almost wote wa JMT wana kadi za bima aina ya Jubilee.Wabunge wako insured katika...
WAKATI mbunge wa Maswa Magharibi, John Shibuda (CHADEMA) akidai kuwa hajawahi kueleimishwa kuhusu kundi la UKAWA, Tanzania Daima Jumatano limebaini ni mwongo.
Kundi la Umoja wa Katiba ya...
Kwa mujibu wa UKAWA ni kwamba Rasimu ya Warioba inatakiwa isiingizwe mambo mapya ambayo wananchi "walio wengi" hawakutaka liwekwe kwenye Katiba!
Suala la Mahakama ya Kadhi halikuwemo kwenye...
Na Godfrey Nangeda.
Vuguvugu la katiba mpya, ndio habari inayo chukua nafasi, katika vyombo mbali mbali vya habari, na mijadala yake imefika maeneo tofauti tofauti ya watu. Makazini, vijiweni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.