KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wadau nimelitafakari sana hili swala naona niliweke mezani tulijadili.Muundo wa bunge la katiba ukitoa vyama vya siasa unaweza kuwa suluhisho la kero za wananchi.Hapa namaanisha huu mfumo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viongozi wafuatao wametajwa kutaka muundo wa serikali 3 na sasa wamekengeuka. W.Lukuvi, A.Makinda, E.Lowassa, A.Mwinyi, P.Msekwa, P.Kificho, S.Nahodha. Nani na nini kimewafanya wausaliti utashi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
idadi ya wabunge 80 hawajafika kwenye vikao vinavyoendelea katika BMK. Mawaziri ambao ni wabunge maalumu wa BMK wana majukumu mengine. Je wanatutendea haki? Kwa maono yangu wabunge wangepatikana...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
WARIOBA NA WAJUMBE WA TUME-AMKANI NA MUUONE UKWELI.. Kuna mahali ambapo tume ya mabadiliko ya katiba inatumia neno HISIA,na baadae hisia inageuka kuwa kero ambayo ni msamiati mpya wa kisisasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa nyakati tofauti mheshimiwa Wassira, Lukuvi na Sitta wamenukuliwa wakisema theluthi mbili ndani ya Bunge kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika zipo kuweza kupitisha rasimu inayojadiliwa! Hili...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mjumbe wa BMK anayedhaniwa kuwa na umri mdogo zaidi, Teddy Ladislaus(22) amesema kitendo cha Bunge hilo kuendelea na vikao vyake ni kutumia vibaya fedha za walipakodi na ni dhambi ambayo Wajumbe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
We all know that freedom of speech is a fundamental human right in our country but freedom without limits is anarchy, and also freedom without conscience is cruelty. Nimeshangazwa na...
4 Reactions
78 Replies
5K Views
PAMOJA na Rasimu ya Katiba mpya ya Jaji Joseph Warioba kupunguza madaraka ya Rais, kamati zilizotoa taarifa ya mwenendo wake jana zimependekeza madaraka zaidi kupunguzwa. Katika majadiliano...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tangu atoe angalizo la kuomba kiti cha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba kujiridhisha na akidi kabla ya kuendelea na vikao vya Bunge vya siku 84, Naibu Katibu Mkuu wa CCM na Naibu Waziri wa...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
njaa ya steve mengele itampeleka pabaya,naomba na nashauri sana watanzania msinunue kazi zake,mwache ale pesa za maccm
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Miongoni mwa mambo yanayokera na p engine kuudhi, ni pale ambapo inatokea kuna mgogoro baina ya watu/pande mbili halafu ikatokea mtu anayeitisha usuluhishi halafu kwa makusudi upande mmoja ukawa...
5 Reactions
73 Replies
6K Views
Shibuda na Nyerere wasema hamo ndani ya bunge la katiba Kumekuwepo na habari nyingi zinazokuzwa na vyombo vya habari kwamba baadhi ya wajumbe wa bunge maalum la Katiba mpya kutoka kundi la UKAWA...
5 Reactions
80 Replies
10K Views
Ushiriki wa wajumbe wa bunge lakatiba katika vikao vya kamati umekuwa simzuri kwani wamekuwa wakichelewa na wengine mpaka wapigiwe simu hali ambayo imelalamikiwa na wenzao wa zanzibar pamoja na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naona kama siku za maandamano zinachelewa. Siku ikifika nitakuwa mstari wa mbele kwenye maandamano yatakayo fanyika mkoani mbeya kudai katiba ya wananchi viva ukawa. Lumumba bk7 .karibuni
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau, Rehema za Mwenyezi Mungu ziwe juu yenu. Jana kwenye Taarifa ya Habari ya Saa Mbili ya kituo cha Televisheni cha TBC1, nimemsikia Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia akipendekeza...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Amani kwa wote,ni nimeshangazwa sana na kauli zinazotolewa na Arfi pamoja na shibuda kama utetezi wao juu ya ushiriki wao kwenye Bunge Maalum la katiba. Nikianza na Arfi yeye anasema anaenda...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Dodoma. Wakati kamati za Bunge Maalumu zikiendelea na uchambuzi wa Rasimu ya Katiba, mwelekeo wa kuzika muundo wa serikali tatu uliopendekezwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba umejidhihirisha huku...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hizi ni hoja mufilisi za watu waliochoka kufikiri na wanaotaka kulazimisha mambo. hivi mnavyosema kwamba waliotoa maoni ya serikali 3 ni wachache na ETI maoni haya yametoka kigoma ,Je rais...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nimejaribu kutafakari maneno aliyokuwa anayatoa mbele ya mtangazaji wa Star TV kuwa hajuwi kilichosababisha UKAWA wagome hili si tatizo maana kila mmoja anauwelewa tofauti. Shida yangu nipale...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Jana vyombo vingi vya habari vililipoti kuhusu mjumbe wa BMK aliyeko hospitali alifuatwa ili apige kura. nikajiuliza maswali mengi sana lakini sijapata majibu. hivi kweli kwenye chaguzi zetu...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom