KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Unaposema unakwenda kujadili vingine inamaana muundo wa Serikali mume maliza hii nchi sio yenu wala ya urithi ndugu zetu chonde chonde
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Kwa mujibu wa Nguli na mtaalamu wa ku design na kuandika katiba,mhadhiri kutoka chuo kikuu cha dar es salaam,Prof.Palamagamba Kabudi,Ni dhahiri kabisa Serikali ya CCM inacheza na maisha yetu na ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kesho nawasihi kama mnataka kujishushia heshima na siku zijazo mtakapokuwa ndani ya bunge maalumu la katiba mnatakiwa mjenge hoja bila matusi. Mkianza matusi Watanzania watawachukulia kama...
0 Reactions
3 Replies
999 Views
Leo nimejua baadhi ya sababu zinazowafanya CCM kukataa kujadili rasimu ya pili ya Katiba kama ilivyowasilishwana jaji Warioba.Hoja za Profesa Kabudi na H.Polepole zimebainisha mambo ya msingi...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Wana jamvi kuna taarifa ambayo bado haijathibitishwa kuwa kuanzia tarehe tajwa hapo juu ni kwamba wana ukawa watapiga mikutano ya hadhara kata zote mkoa wa dar kuomba uungwaji mkono mpana wa...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Wana jf. Mimi fikira zangu zinaakisi kwamba rasimu ya katiba bado ina ubikira, Katiba imekuwa na itikadi za kivyama mimi falsafa yangu naona hakuna chama ambacho kiko loyal kwenye suala la katiba.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna habari zinazoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi baada ya wengi wanaoiwakilisha CCM katika Bunge la kutunga Katiba kupendelea kuijadili ile kitu aliyoiwakilisha Mh.Warioba katika bunge hilo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sisi baadhi ya wananchi tunaowasikili Wana UKAWA, tumefuatilia sana maelezo yenu na kuungana na nyinyi katika harakati zote. Tumekuja kuona kuwa umaskini wa Watanzania sio sababu za Muundo wa...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau nawapenda maendeleo na ukombozi wa nchi hii tuungane tuwe kitu kimoja tutetee taifa letu nakulikomboa sisi wenyewe.
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Anasema asilimia 40 ya watu waliosema serikali 3 ni kutoka mikoa ya Kagera na Kigoma na hivyo UKAWA wasilazimishe serikali 3. Anasema tuachane na katiba sasa na bunge la kawaida liangalia tume...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
hakuna asiyeijua historia ya nkurumah hall pale UDSM hata kama hukubahatika kusoma hapo, ni jengo lililotumika katika midahalo mikubwa ya kitaifa na kimataifa na hata kupewa heshima kubwa na jamii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Napenda wale wanaotaka Tanzania ibaki katika mfumo wa serikali mbili watambue ya kwamba WaTanzania waleo sio wale waliolazimishwa kuelekea Geza Ulole kuulinda Ujamaa na kuanzishwa kwa vijiji...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sijui yuko mwaka wa ngapi ila ningemrudisha A-level akarudie mtihani!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rasimu,kama ilivyo Katiba,husomwa kwa ujumla wake. Rasimu ya Tume ya Jaji Warioba imejikita katika mfumo wa Serikali tatu. Utatu huo ndiyo Rasimu yenyewe. Kimantiki,hakuna jambo lolote ndani ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Siku ya mdaharo wa nani anazuia katiba ya wananchi Mzee Wasira alisema tume ya Nyarari ilihoji watu watatu Zanzibar na watu watano Tanganyika. Jana kasema tume ya jaji Nyarari ilihoji watu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana body nimatumaini yangu nyote mko salama? Kuna jambo moja la muhimu sana ambalo viongozi wetu hasa wa Tanzania One(ccm) hawaliongelee kabisa nalo ni; Mnamo tarehe 16/04/2014 Umoja wa katiba...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Mada ya Mdahalo: Umuhimu wa kuzingatia mambo ya msingi sasa katika Mchakato wa kupata Katiba Mpya Siku: Jumatatu tarehe 4 agosti 2014, ukumbi: Hoteli ya blue pearl ubungo plaza saa...
3 Reactions
63 Replies
9K Views
Hakika imedhihirika kuwa kwa mambo yalivyo na yanavyoendeshwa ndani ya BMK Tanzania itakuwa nchi ya kwanza duniani kufanya kituko hicho. Hayo yalidhihirishwa na msemaji wa mjadala Prof. Lumumba...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Moshi/Dar. Mawaziri Stephen Wassira na Mwigulu Nchemba wamesema kuwa japo Bunge Maalumu la Katiba litaendelea na vikao vyake kuanzia kesho mjini Dodoma, halitakuwa na uhalali wa kisiasa...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom