Anawaomba watanzania wawaunge mkono UKAWA kususia kwao mchakato mzima wa Katiba mpaka hapo CCM watakapokuwa tayari kujadili Rasimu iliyopelekwa Bungeni na sio hii mpya inayojadiliwa na Wajumbe wa CCM.
Kwenye magazeti ya leo yamemnukuu Lukuvi akisema Lissu ndio anayekwamisha mchakato wa katiba na kama Lissu atatumia ushawishi wake basi katiba mpya itapatikana.
Swali la kujiuliza je ni kweli...
Ndugu zangu watanzania,
Kwa wale waliofuatilia mdahalo wa jana unaosemekana kuandaliwa na UDASA pale Nkurumah Hall walimsikia ndugu Lukuvi wakati akitoa maneno ya kufunga mjadala ule akisema kuwa...
Kama kuna mwanasiasa anapata wakati mgumu kutetea uongo, uharifu na makosa yote ya Ccm ni Lukuvi. Jana alisusiwa mdahalo pale UDASA, lakini si mara moja kuhangaika kujaribu bila mafanikio kugeuza...
Dar es Salaam. Wazee walioalikwa kutoa busara zao katika mdahalo wa Katiba jana walilikoroga baada ya kutoa maoni ambayo yaliwakera wasikilizaji waliokuwa katika Ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu...
Wadau!
Nimekaa nikafikiria CCM kadri siku zinavyozidi kwenda naona CCM inazid kupotea kila kukicha.
Kati ya watu walio baki CCM ambao nina imani nao leo hii wakipewa nafasI ya kukaa mezani na...
Wadau!
Nimekaa nikafikiria ccm kadri siku zinavyozidi kwenda naona ccm inazid kupotea kila kukicha.Kati ya watu walio baki ccm ambao nina imani nao leo hii wakipewa nafas ya kukaa mezani na ukawa...
Wadau nimekuwa nikisikia kutoka kwa wachambuzi wa siasa kuwa Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo wajumbe wa Bunge la katiba kutoka makundi maalum wameteuliwa na Rais?, yaani Rais ndie mteuzi wa...
Yaani hata haeleweki! mara anamshambulia mh rais mara wajumbe wa bunge maalum mara anadai yeye ndio wananchi na kuwa ccm na cuf zitakufa kesho lakini yeye na wananchi watabaki. sijui chadema huyu!
Eneo litakuwa Ubungo Plaza ( ukumbi wa crystal) Dsm leo 4 august 2014 kuanzia saa saba kamili mchana.
MADA
Umuhimu wa kuzingatia mambo ya
msingi sasa katika...
Tupo katika kipindi kigumu cha mpito ambacho tusipokuwa makini taifa litaangamia.Litaangamia kwa kuwa watawala wanashindana na watawaliwa kwa kushindwa kuafikiana mapendekezo ya wananchi...
Kwa waliokuwa wakifuatilia Bunge la katiba awamu ya kwanza mtakubaliana nami kuwa ilikuwa ni aina fulani ya sinema iliyokuwa inarushwa live na serikali ya Tanzania. Hii ni kutokana na matusi ya...
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wameapa kuwa hawatarejea katika Bunge la Katiba linalotarajiwa kuendelea kuanzia tarehe 5/8/2014 (Jumanne ijayo). Nimeambiwa kuwa UKAWA wameshindwa kukubaliana...
Kwa wale tunaofuatilia StarTv nadhani wataungana na Mimi kumuunga mkono K.Mkumbo,
Huyu jamaa nadhani anatoa Yale ambayo watanzania wengi wangetamani kusema lakini wamekosa pa kusemea( voice of...
Ndugu wanabodi msisahau kufuatilia MDAHALO WA KATIBA LEO JUMAMOSI tar 3 itakayorushwa moja kwa moja ITV kuanzia leo saa 8 kamili mchana hadi saa 11 kamili jioni. Watoa MADA watakuwa ni JENERALI...
Kuandika Katiba mpya si kama kuandika makala gazetini au kwenye jarida. Ni mchakato wenye chungu na tamu (Rejea mchakato wa Kenya na matukio yake). Mchakato wetu sasa umegota.
Natoa wito kwa...
Katika hali ya kushangaza viongozi wengi wa ccm wamehudhuria mdahalo wa katiba mpya mpya uliofanyika pale udsm katika ukumbi wa Nkurumah.
Wadadisi wa mambo wanaeleza kuwa UDASA wametumiwa na ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.