Kama bunge Maalum la katiba litavunjwa liendelee baada ya uchaguzi mkuu, naona hao wajumbe warudishe serikalini posho zote walizopokea. Wadau mnaonaje hili?
Habari jf,
Leo nimesikia maneno ya Tundu Lisu kuwa muasisi wa serikali tatu alikuwa ni Abdul Jumbe ,miaka thelathini na moja.
Hivyo naomba anaefahamu kinaga ubaga anifafanulie ya juu ya uhusiano...
Ukawa ni wabishi ila wameshapata masomo ya kutosha. Wengi wao Ukawa wana nia ya dhati ya kurudi BMK ila Tundu Lissu atakuwa wa mwisho kurudi, ila atarudi tu!
KATIBA mpya imetakiwa iwe na kifungu maalumu kitakachofafanua rushwa ni nini kwenye uchaguzi.
Lakini pia ieleze ni matumizi gani mgombea hawezi kuyakwepa katika kampeni zake, mathalani kukusanya...
Akizungumza kwenye mdahalo kuhusu mchakato wa katiba mpya, Steven Wasira alisema bunge la katiba likirudi litajadili ibara nyingine sio tena suala la S2 au S3. Lukuvi ameshadadia alipokuwa...
Katika hatua za awali za mchakato wa katiba mpya sisi wengine tuliamini kuwa ifikapo mwaka 2015 itapatikana katiba mpya hasa baada ya ule mswaada wa awali kurejeshwa bungeni baada ya kelele za...
Akizungumza kwenye mdahalo kuhusu mchakato wa katiba mpya, Steven Wasira alisema bunge la katiba likirudi litajadili ibara nyingine sio tena suala la S2 au S3. Lukuvi ameshadadia alipokuwa...
Ukawa ni nani hasa katika nchi hii. Ccm ni nani katika nchi hii. Katiba tunayoitaka si kwa ajili ya wanachama mil.3 wa ccm au mil. 3.5 wa ukawa. Hata wakiungana hawawezi kufika mil. 20 ambayo ni...
Wan JFjana nilifuatilia kwa makini mdahalo wa katiba kupitia ITV.
Ninakirikuguswa na namna alivyotueleza umuhimu wa uvumilivu katika kutunga katiba,jambo ambalo limepotea ndani ya CCM,kwani...
Chama changu CCM kimekuwa ni mzigo usiokwenda na wakati. hakukuwa na ulazima wa kuwahusisha Wasira, Mwigulu na Nape katika mchakato wa kufikia maridhiano baina na pande mbile hasimu kuhusiana na...
Dar es Salaam. Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (pichani) amewataka viongozi kuacha kufananisha mchakato wa Katiba na ushabiki wa mpira wa Simba na Yanga.
Zitto alitoa kauli hiyo jana...
Katika hali inavyojionyesha Katiba mpya lazima itungwe,hata kama Ukawa hawatarudi Bungeni. Swali la msingi kwa Ukawa na misimamo yao bila kwenda na nyakati, je mwaka 2015 wakishida Urais kwa...
Nyie ukawa msituzingue kwa Nini hamtaki mazungumzo mnajifanya nchi hii mliumbiwa na Mungu ninyi tu. Nchi hii ni ya Watanzania wote msipende kutuletea u Boko haram na u al Shabab wenu maana ninyi...
Dar es Salaam. Makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Joseph Butiku na Njelu Kasaka wamesema kuwa msimamo wa chama hicho uliotokana na vikao vyake ni kuelekea Serikali moja na siyo kama...
Jana kulitokea kutokuelewana bungeni kuhusu kufanya mabadiliko ya kanuni, leo Mwenyekiti wa Kanuni, Pandu akiwasilisha mabadiliko hayo
=======
UPDATES:
Kile kifungu cha kura ya siri au wazi...
Prof. Lipumba anajidhalilisha kweli kwa kuunga mkono mgomo wa ukawa. Wenzie hawana elimu kubwa kama yeye wapo walioferi shuleni, wapo wasiojielewa wengi mule na watu wenye kuhitaji ushauri kuntu...
Wana ccm wanasema serikali tatu jeshi litatawala nchi,Mara muungano utakufa. Ukawa wanasema serikali mbili ni sintofahamu,znz kutojitambua,kutokuwa na mamlaka kamili, huku watanganyika wakiona...
Ni jambo la kushangaza kuendelea kusikia watu wakishawishi wenzao kuingia bunge la katiba. Kwa mtu aliyeshuhudia lugha ya mijadala iliyotumika, hawezi kutamani Bunge hilo liendelee.
Binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.